Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

Ndugu zangu Watanzania,

Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania.

Ni picha iliyojaa nyuso za tabasamu na furaha kubwa sana
. Ni picha yenye kuonyesha upendo na umoja. Picha yenye kuonyesha Ukarimu na upendo alionao Rais wetu,picha yenye kuonyesha unyenyekevu uliojaa katika kifua cha Rais wetu,picha yenye kuonyesha namna Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi asivyo na Makuu wala majivuno wala kiburi. Ni mtu wa watu ,kiongozi wa wote ,Mama wa Taifa.

Ni picha iliyovutia hisia za wengi, ni picha iliyoteka mioyo ya watu,ni picha iliyogusa watu,ni picha iliyowafurahisha sana watanzania. Ni picha bora ya wiki hii.View attachment 3376514

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mikono yake imejaa damu.
 
Handshake ina matatizo.

Kuna mmoja katoa full hand while mwingine kaminya kimtindo.
 
Uchaguzi.jpg
 
Kuna kitu kibaya ambacho Mkwere aliifanyia hii familia!.. ambacho huyu mama anacho moyoni!
Muda utaongea!
Ni hisia tu!

The saying "Keep your friends close and your enemies closer" suggests that it's strategically advantageous to maintain awareness of your adversaries' actions and intention
 
Attachments

  • 1750413126555.png
    1750413126555.png
    650 bytes · Views: 13
  • 1750413126604.png
    1750413126604.png
    497 bytes · Views: 13
  • 1750413126653.png
    1750413126653.png
    326 bytes · Views: 14
  • 1750413126688.jpeg
    1750413126688.jpeg
    3.5 KB · Views: 15
Kuna kitu kibaya ambacho Mkwere aliifanyia hii familia!.. ambacho huyu mama anacho moyoni!
Muda utaongea
Aliyofanya Magu kwa ile miaka yake Kikwete hakufanya kwa miaka yake 10!
Kulinda Raslimali za Taifa kwa ajili ya Taifa ilikuwa ni kipaumbele cha Magu ILA kwa Kikwete ilikuwa sio kabisa! (Tukumbuke vitalu vya gas alichokifanya yeye na bunge la CCM)
 
Back
Top Bottom