Kuna mshkaji alikuwa dereva wa bodaboda, aliporwa bodaboda,na mpk leo mwili wake haujaonekanaWatu wanajifanya wanahuruma sana na mwizi...hao wezi wa pikipiki wako tayari kuua ili kuchukua pikipiki...mistake ni jamaa kuonyesha sura yake na plate no kama inaonekana
Unayeua una tofauti gani na mwizi?Siku ukiibiwa utaelewa, kwasasa huwezi kuelewa.......juzi kuna dada jirani yetu kavamiwa kaibiwa na kubakwa na watu watatu halafu watu kama hao mkiwakuta muwachekee tu?
Tukiendekeza upuuzi huu wa kuuana hovyo, adui yako atakuita mwizi mtaani na utauawa bure kumbe mmechangia dem.Siku ukiibiwa utaelewa, kwasasa huwezi kuelewa.......juzi kuna dada jirani yetu kavamiwa kaibiwa na kubakwa na watu watatu halafu watu kama hao mkiwakuta muwachekee tu?
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2815][emoji2815][emoji2815]Mbona hajaguswa inavyotakiwa sasa
Hakutaka kuwa na kesi ya mauajiHuyu ana kesi ya maauaji ya kukusudia na itamkost yaani jela misha au kitanzi kudadeki zake
Wabongo wana roho mbaya
Na makatili !
Hii kitendo alichofanya jamaa ni unyama
Ova
Ngoja nikupe senario ya mwizi aliyeingia kwa Uncle wangu nikiwa mgeni wao siku hiyo;Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.
Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Siyo sawaJe kuiba ni sawa?
Kuna mtu aliuwawa kibaha,jamaa alikuwa kwenye noah aligongana na bodaTukiendekeza upuuzi huu wa kuuana hovyo, adui yako atakuita mwizi mtaani na utauawa bure kumbe mmechangia dem.
Tuache upuuzi huu.
Nilishuhudia mtua anauawa kimasihara, walitofautiana na demu wake, akamtia kwenzi dogo tu...dem akapiga kelele ya mwizi...jamaa aliuawa papohapo
Nishaibiwa,nishaporwa,nishapigwa mpaka risasiSiku ukiibiwa utaelewa, kwasasa huwezi kuelewa.......juzi kuna dada jirani yetu kavamiwa kaibiwa na kubakwa na watu watatu halafu watu kama hao mkiwakuta muwachekee tu?
Haya ndio Watanzania wanayatetea?Kuna mtu aliuwawa kibaha,jamaa alikuwa kwenye noah aligongana na boda
Boda baada ya kuona haelewani naye ikabidi bodaboda yule amuitie mwizi walitokea bodaboda wengine wakamvaa jamaa wakampiga wakamchoma moto hapo hapo
Ova
Wezi ni watu wabaya sana. Angemkata mkono kabisa, mwizi akikuotea anakuua ili apate pikipiki tu. Unapoamua kuwa mwizi umeamua kufa au kuuaSiyo sawa
Ila kwa kitendo alichofanya jamaa hadharani
Msala unaweza mgeukia,labda kama huyo mwizi awe wanted sana
Ova
Acha upumbavu wako hapa issue ni wezi na wizi ... Ukikamatwa kitaa kwetu jua imeisha hiyoTukiendekeza upuuzi huu wa kuuana hovyo, adui yako atakuita mwizi mtaani na utauawa bure kumbe mmechangia dem.
Tuache upuuzi huu.
Nilishuhudia mtua anauawa kimasihara, walitofautiana na demu wake, akamtia kwenzi dogo tu...dem akapiga kelele ya mwizi...jamaa aliuawa papohapo
We mwenyewe mwizi sema bado hujakamatwwAcha upumbavu wako hapa issue ni wezi na wizi ... Ukikamatwa kitaa kwetu jua imeisha hiyo