Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Mimi huyo na kama wataendelea basi nitawaambia wawe wastaarabu waache kuongea kwa sauti kubwa zinazosumbua wasafiri wengine.
Unakuta unawatolea macho ishara ya kuonyesha kwamba wanakera,lakini utadhani ndio umewaambia ongeza sauti[emoji38][emoji38][emoji38].
 
Reactions: BAK
Mnoooo aiseh
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]

Ungemuomba konda akuhamishe seat nyingine.

Safari ya Mwanza kukaa na mtu msumbufu aisee inahitaji Moyo [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mtu akijitanua unamkalia ee..safi kabisa mtakatifu
[emoji23]
Hasa sisi wembamba ndio unakuta tunabanwa hadi basi.
Dawa ni kuinuka na kukaa upya..nikiinuka nikikaa nakaa seat yangu yote
Kwahiyo kama niliyekaa naye amekaa na sehemu yangu yaani namkalia Sehemu iliyozidi.
 
[emoji23]
Hasa sisi wembamba ndio unakuta tunabanwa hadi basi.
Dawa ni kuinuka na kukaa upya..nikiinuka nikikaa nakaa seat yangu yote
Kwahiyo kama niliyekaa naye amekaa na sehemu yangu yaani namkalia Sehemu iliyozidi.
Kama nakuona unavyofanya fujo [emoji1787]
 
Sitasahau siku niliyokata tiket siti ya katikati nyuma kabisa usawa wa korido nilikua wa mwisho kuingia ndan ya bus, nilikuta wamama wa 4 wamebanana hatari. asee niliishia kucheka tu, Siti za watu 5 wamekaa watu 4
 
Huwa napenda kukaa siti ya dirishani, napenda sanaaaa. Yani ikotokea siku nimepanda kwenye basi alafu sijakaa dirishani kwa kweli huwa makosa amani kbs, sioni Raha ya safari.
 
Abiria jirani kutaka kunijua saaana na kuomba namba,, keroo mnatakiwa kujua si mara zote mtu Yuko safari kwa matembezi manake hizi ndo zenye raha, wengine safari ni za majonzi, mahangaiko nk kuuliza uliza habari za mtu Ni kumuongezea mahangaiko na makasiriko
 
Udhaifu huo.
Binti akija akute nimekaa akae kimya kimya wala sina habari hata kama tutasafiri masaa 20 i don't care wala simuongeleshi

Aje akae namimi yuko bize na simu yake wala sina habari namuona msukule tu

Tabia inayonikela ni mtu kutaka kunijua nafanya shughuli gani, yaan kutaka kunijua kiundani ni jambo ambalo silipendi kabisa tena kwa mtu tuliyekutana kwa mara ya kwanza.

Nishawahi kudate na mwanamke almost mwaka na tukaachana mpaka leo hajawahi kujua nafanya shughuli gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…