Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Hahah,haya bhana. Umejibu vyema kabisa[emoji4] [emoji4] !!Nilikuwa naweza kuzidhibiti mwenyewe!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kumwekea mwalimu upupu kwenye kiti chake...
Kuchonganisha wanafunzi wanapigana mpaka wanaomba mapumzikoHeshima kwenu wakuu wa Jf
je ni tabia gani uliyoshindwa kuacha ukiwa shuleni
1.Utoro
2.Kuchelewa
3.kupiga kelele darasani
4.wizi
5.ugomvi shuleni
6.Upole darasani
7.kutumia simu shuleni
kama sijaweka yako unaeza kueka tukaenda sawa..