Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Nawacheki tu ila namba 4 wengi mnairuka tu mbona fulani hapo huyo naniii ulikua na tabia ya ya namba 4
 
Kuchelewa kuamka ,bibi ashagomba sana mpaka leo mkubwa lakin napenda kweli kulala
 
Utoro.
Kuchelewa.
Kupiga kelele.
Kutoandika notice.
Kuvaa modo.
Kumkimbia teacher wa french(français)
 
Heshima kwenu wakuu wa Jf

je ni tabia gani uliyoshindwa kuacha ukiwa shuleni
1.Utoro
2.Kuchelewa
3.kupiga kelele darasani
4.wizi
5.ugomvi shuleni
6.Upole darasani
7.kutumia simu shuleni
kama sijaweka yako unaeza kueka tukaenda sawa..
Kuchonganisha wanafunzi wanapigana mpaka wanaomba mapumziko
 
Back
Top Bottom