Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kumbe una tabia mbaya hivo?? Sichezi tena na weweWewe huwoni wanavyooteleza km bamia mchuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe una tabia mbaya hivo?? Sichezi tena na weweWewe huwoni wanavyooteleza km bamia mchuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] nakutania bhana babuuuKumbe una tabia mbaya hivo?? Sichezi tena na wewe
Afazali... maana nlishataka kughairi kukutongoza...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] nakutania bhana babuuu
When I was at school ,I was very allergic in dodging the lessonsHeshima kwenu wakuu wa Jf
je ni tabia gani uliyoshindwa kuacha ukiwa shuleni
1.Utoro
2.Kuchelewa
3.kupiga kelele darasani
4.wizi
5.ugomvi shuleni
6.Upole darasani
7.kutumia simu shuleni
kama sijaweka yako unaeza kueka tukaenda sawa..
[emoji87] [emoji87] inamaana bado unashikilia huo msimamo wako wakunitongozaa????Afazali... maana nlishataka kughairi kukutongoza...
Hey bitch stop being aggressive [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji87] [emoji87] inamaana bado unashikilia huo msimamo wako wakunitongozaa????
Tunaharibu Uzi wawatu tutapigwa banned twende kwenye kijiwe cha kahawaa
Hey bitch stop being aggressiveHey bitch stop being aggressive [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hey bitch stop being aggressive
Kamwene mnyalu..una nikumbudha enzi zetu tukiwa A-level pale mkwawa, ni full kwenda maeneo ya makanyagio na ilala kunywa ulanzi tu, aisee, kurudi shule tunapitia kule shule ya msingi ilala (iko mlimani) au kule uwanja wa Mpira kuna mlima umejaaa vitindi vya ulanzi...aisee...ilikuwa rahaa sana kunywa ulanzi wa wanyalu.Secondary nilikuwa nashinda na kujificha kwenye mianzi wanakogemea ulanzi class nilikuwa siendi