Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Aisee
 
Watu wasio kunywa pombe majungu mengi sana na akili zao ni za kijinga sana.
Ooh watu wanao lewa wanachezea pesa sisi tunasema sawa tuonyeshe wewe usio lewa ela zako umejenga maghorofa mangapi una anza blah blah nyingi idiots.
 
Changamoto yako hupendi kilaji tu.Jaribu ukapige mdindifu wa kule kwa wachina Mkimbizi au wa Ifunda au Tanangozi au Isakalilo kule halafu uje utupe majibu.Kama huko kote ni mbali nenda Victoria au Sebuleni kwa mzee Tausi Stereo utapata majawabu tu.
 
Kupeana deals na kazi kwq urahisi!
 
Tabia ya walevi inayokera...kutematema mate..kukojoa mara kwa mara usiombe mkashare naye choo..nyege za karibu...stori nyingi usiombe ukamsogelea karibu akiwa anapiga stori utalowa uso mzima sio kwa mate anayoyatoa huwa nakereka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…