Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Biashara gani mwanamke na mwanaume mnafanya muache kutombanaa.?
 
Urafiki na madem mara nyingi hauna maana. Wana shida nyingi sana af sisi kama ME huwez mshirikisha shida zako

Pia nikurekebishe men are superior kwenu usipoliona hilo utakuwa unaona mazigaz
 
Kinachofanya utongozwe au uliwe ni kutaka dezo toka kwa mwanaume. Kama hutaki kutongozwa usiombeombe msaada toka kwa mwanaume jitegemee hakuna msaada wa bure uko safari lakini unataka ulipiwe chakula na mwanaume uliyekaa naye siti moja kwani ulivyosafiri hukuwa na hela?

Huwezi kula bila kuliwa.
 
Wenye kuomba omba misaada unnecessarily hiyo ni kesi nyingine sasa
 
Baeleze bwana. Na wao tunawajazia mafuta hadi magari yao. Hawana shukrani hawa
 
Na nyie muache kupenda mtelezo(vitu vya bwerere)maana saivi mtu awezi kukupa kitu bure tu ni hivyo wakiomba namba usitoe.Maana yaan sisi wanaume na wanawake ni kama Simba na Swala aaaah nadhani umeelewa ni hayo tu.
 
Mwanamke akiwa mrembo utaachaje kumtongoza,huwa tunatongoza akikubali Ni sawa na akikataa Ni sawa pia.
 
Wajibu wetu. Tafadhali tusiingiliane majukumu! Wanaume tumeumbwa hivyo. Ukikubali NI MOTO TU! Msipotongozwa shida. Mara waganga. Mara kujichubuwa mpaka mwaonekana kama tetracycline. Mara mwaenda kwa matapeli wa kiroho kina mwamposa. Mara mwawa vichaa na kuthubutu kujiua. WHAT DO THE WOMEN REALLY WANT?! ⁉️😕😵🤔
 
Muanze kubadilika kwanza nyie ndo mtushauri sisi. Wanawake ni ngumu sana kupanga nao jambo nje ya mapenzi. Dada zetu tu nyumbani wakipata Boyfriend zao huwaambii kitu. Kupanga kitu na wanawake ni risk kubwa. Yaani labda kiwe cha muda mfupi tu na unayepanga nae awe ameolewa na mume wake pia awepo kumsaidia....
 
WANAUME HAPA WANALIA MAISHA MAGUMU HAYAELEWEKI, HONESTLY NADHANI PARTLY NI KWA SABABU YA MACHOZI MNAYOYASABABISHA KWA MABINTI ZA WATU!!!!
Machozi yanatoka pande zote mbili huwa hamjui tu,
Na hamna aliyelia hapa watu wanafunga mkanda shughuli inaendelea ikiwezekana mtu unakua single faza tu.
 
Kimsingi hakuna mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume yasiyohusisha kupigana miti. Unless huyo mwanamke ni bibi, mama, shangazi, dada, binamu, shemeji au mtoto wa kike.

Nje ya hapo ni kupigana miti tu. Mbona nyie mkikutana na wanaume wenye pesa zao huwa hamuwazi mara mbili kuzitamani na kutaka kuzitumia as if ni urithi wa baba zenu, kumbafu.
 
Huku ni kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…