Hapo uliamua vizuri ila ulitakiwa uanze kwenda na watu wengine wanaojua Biblia ili uelewe kumtegemea Mungu vizuri,o kwa kupata mafunzo zaidi.siku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ".
Kusali sala ile hakukufanyi wewe ubadilike ghafula. Unahitaji kusali na kusoma Neno la Mungu na ikilieezekana hali uliyofikia ulihitaji kukariri mistari inayokataza tabia hizo.