Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

1 na 2 tunafanana, kubeti nilianza 2015 aisee sitaki hata kukumbuka ila kwa kifupi tu tokea 2018 sijawahi beti mpaka sasa naamini nishashinda hiyo vita ila punyeto hata leo napiga mara moja moja japo nimeshaoa tayari.
Habari zenu wakuu,

Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi?

MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.

MBILI : PUNYETO ; Hii ndo huwa sehemu yangu ya kupunguza machungu baada ya kuliwa hela kubeti.yaani naweza weka laki 5 nikishaliwa naweka GB 3 kwenye simu najifungia geto nacheki video za ngono na kupiga punyeto tu kwa siku nzima najikuta nimepiga goli 8 hadi 12 hadi miguu inaishiwa nguvt nashindwa hata kusimama na nakojoa matone siyo nyege tena.

TATU : UONGO ; Hii imesababishwa kwa kiasi kikubwa na kubeti, pesa ambayo ningewapa wazazi wangu wafanyie mambo ya msingi najikuta nimebetia imeliwa kwa hiyo naanza kutunga stori za kiwango cha digrii ili tu nieleweke ingawa haisaidii kitu maana mwongo mwisho wa siku huumbuka tu.

NNE NA MWISHO : KUTOMCHA MUNGU ; mara kadhaa nimekuwa nikiamini kuwa nikimcha mungu katika usiriazi basi sitabeti,sitapiga punyeto na sitadanganya, lakini nako nashindwa, natubu nakaa wiki moja kama sina hela nauza hata kitu ndani kama sabufa hivi hela nabetia naliwa yote narudi kupiga punyeto kujipoza machungu ya kwa kifupi najiona nna maisha mafupi kwa uraibu wa hizi tabia nilizo nazo.

 
Time na space ina determine ufe lini
 
Acha nyeto maana nyeto huondoa bahati siku zote mbetiji siku mbili kabla ya kubeti usitombe wala kupiga nyeto alafu Acha Tamaa Una laki kwann uweke point mbili au point moja Nika tano Acha Tamaa kikubwa beti Kwa kiasii Mimi ni mbetiji mzuri nashukuru Mungu naeza jizuia kibeti kwawiki au wiki mbili na kiwango changu cha pesa hakivuki 20
 
1 na 2 tunafanana, kubeti nilianza 2015 aisee sitaki hata kukumbuka ila kwa kifupi tu tokea 2018 sijawahi beti mpaka sasa naamini nishashinda hiyo vita ila punyeto hata leo napiga mara moja moja japo nimeshaoa tayari.

mkuu kama umeshaoa mara moja moja unapigaje puchu,
ni kwamba labda wife anakuwa hayupo sometime ama huna hamu nae unaona tu bora ujitafune mwenyewe.
 
Punyeto ni tamu balaa, huwa napiga wife akiwa amesafiri
mkuu kama umeshaoa mara moja moja unapigaje puchu,
ni kwamba labda wife anakuwa hayupo sometime ama huna hamu nae unaona tu bora ujitafune mwenyewe.
 
Back
Top Bottom