Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Then iga mfano wangu na hapo sina njia ya kupata kipato rasmi.hata kama ila principle ya kunywa kidogo usilewe umeiwakilisha vyema.
mimi nimekunywa sana nikalewa ndio shida ilipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then iga mfano wangu na hapo sina njia ya kupata kipato rasmi.hata kama ila principle ya kunywa kidogo usilewe umeiwakilisha vyema.
mimi nimekunywa sana nikalewa ndio shida ilipo
8 mbona kawaida, 12 nimewahi fanya within 14 hrsGoli nane za nyeto? Man you need an award. Hii dunia kila mtu ana upumbavu wake, yaani i don't believe kwamba kuna mtu yupo so innocent kiasi kwamba hivi vidhambi vya kudanganya, kuiba, kutukana etc hana, achilia mbali zile kubwa kubwa!
Uzuri unatambua udhaifu wako, ufanyie kazi mzee!
umenitia moyo ila hujanionesha hatua za kuachana na hizi tabia zinazo niharibia future yangu
Jaribu kujifunza kuwa na self control kwa kila unachofanya, kila kitu kinataka kiasi, kula, kulala etc unatakiwa uwe na kiasi. Hata hiyo nyeto inataka uwe na kiasi, wanaume wengi tu wanafanya huo mchezo but once per week au hata mara mbili basi, betting kama unafanya usikubali iwe addiction kwako, do it for fun ili hata siku ukichoka kufanya uachane nayo kirahisi. Danganya lakini for reasonable issues, sio mtu anakuuliza "uko wapi..unajibu nipo magomeni nakuja", kumbe upo home, hiyo inakusaidiaje.8 mbona kawaida, 12 nimewahi fanya within 14 hrs
brother betting ni betting.Kama bado unaliwa kwenye betting ni dm namba yako ya simu niku add kwenye group la live match betting. Nakuahidi hutajuta
Hyo inakuwa addiction iliyokomaa Sala husaidia pia kufanya Mambo ya kuku keep busy na hyo hamu ikikujia unajiforce kutokufamya kabisa it's possible, maana usipoacha maisha yako yatakuja kuwa mabaya mno.hapa kwenye kipengele, unatubu alafu wiki moja ya pili roho inakwambia si u beti leo weekend timu ziko nyingi utakula tu.
Unaweka stake kubwa wanapita nayo unachanganyikiwa unarudi kujipoza kwenye punyeto, then unaanza kujutia mbona nimerudia aisee...mwishowe unajipa moyo eti mungu ananiju nilivyo na madhaifu yangu kayaumba yeye.
Dah...ndiyo maana take [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Duuh...hii ngumu kumeza ni sawa na kunambia niko sahihi na niendelee tu.
Sasa kama unaanza na laki inafika laki nane. Ina maana bado hujajua tatizo ni ww. Kwanini usiweke mfumo kuwa ukifika kaisi flani ndani ya muda flani unawithdraw unafanyia mambo mengine?MY MONTHLY EARNING.
Naweza kuwa na laki moja nikabet wiki nzima ikafika hadi laki 8 alafu inakuja inakuja inaliwa mara moja tu na kuisha
Mungu akusaidie. Huwezi toka huko mwenyewe hadi Mungu aingilie kati. Pole na imeniumiza sana.Unaweza kuona ni chai ila mimi ndiyo muathirika ukweli naujua mimi.
Mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo uliopitiliza huwa napiga punyeto kwa kiwango ambacho hata mimi huwa najishangaa, naweza kujifungia geto kuanzia asubuh labda saa nne, nalala kitandani najaza GB 3 nakuwa nipo online kwenye web za porno tu mda wote, wastani kila baada ya saa napiga goli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah.. Aisee kumbe haya mambo yapo watu wamekuwa walevi wa betting!siku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini
[emoji16][emoji16][emoji16]wagonjwa wote tutajengana kweli mkuu.
ila any way nitakuja
[emoji1787][emoji1787][emoji16] kukuondoaje yaan?Ah mie nilishajikubalia tuu kuzika pesa kwenye mbususu na mbususu ndio iliyonileta duniani na ndio itakayo niondoa duniani
Kuna "Conscious" aina nyingi sana pale SAUT Mwanza ilikiwa usome masomo flani regardless your "Major"Nafikiri wewe kanuni ya "kunywa kidogo ila usilewe" umeweza kuitendea haki.
Mimi nilichokosea ni nimekunywa nyingi alafu nikalewa na kulevuka imekuwa mtihani kwangu, nadhani umenielewa ni wapi nimekosea.
Mkuu kama huna tabia ya ulevi na wanawake.Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi?
MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.
MBILI : PUNYETO ; Hii ndo huwa sehemu yangu ya kupunguza machungu baada ya kuliwa hela kubeti.yaani naweza weka laki 5 nikishaliwa naweka GB 3 kwenye simu najifungia geto nacheki video za ngono na kupiga punyeto tu kwa siku nzima najikuta nimepiga goli 8 hadi 12 hadi miguu inaishiwa nguvt nashindwa hata kusimama na nakojoa matone siyo nyege tena.
TATU : UONGO ; Hii imesababishwa kwa kiasi kikubwa na kubeti, pesa ambayo ningewapa wazazi wangu wafanyie mambo ya msingi najikuta nimebetia imeliwa kwa hiyo naanza kutunga stori za kiwango cha digrii ili tu nieleweke ingawa haisaidii kitu maana mwongo mwisho wa siku huumbuka tu.
NNE NA MWISHO : KUTOMCHA MUNGU ; mara kadhaa nimekuwa nikiamini kuwa nikimcha mungu katika usiriazi basi sitabeti,sitapiga punyeto na sitadanganya, lakini nako nashindwa, natubu nakaa wiki moja kama sina hela nauza hata kitu ndani kama sabufa hivi hela nabetia naliwa yote narudi kupiga punyeto kujipoza machungu ya kwa kifupi najiona nna maisha mafupi kwa uraibu wa hizi tabia nilizo nazo.