Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Chakula gani ukila mzeya unafika goli 12 na mie nianze kula ili nisasambhe mbususu vizuri

Kama unataka ule kwa ajili ya dem sawa ila kama ni kwa ajili ya punyeto never try utachubuka konga maana mimi nilichunika ngozi ya kongaa vibaya mno ila kwa sababu nilikuwa na hasira niliendelea kupiga hivo hvo bila hata kuhisi maumivu, maivu yalikuja badae sana nikiwa nishamaliza 12 tiari
 
Ah mie nilishajikubalia tuu kuzika pesa kwenye mbususu na mbususu ndio iliyonileta duniani na ndio itakayo niondoa duniani

Itakuwa we bado junior ndo maana unaona uendelee ukishafikia level ya u senior utatamani kuacha kama mimi
 
Mku kama umri unaruhusu vuta mama weka ndani, Majukumu yanaweza kukubadili tabia.
 
Kama unataka ule kwa ajili ya dem sawa ila kama ni kwa ajili ya punyeto never try utachubuka konga maana mimi nilichunika ngozi ya kongaa vibaya mno ila kwa sababu nilikuwa na hasira niliendelea kupiga hivo hvo bila hata kuhisi maumivu, maivu yalikuja badae sana nikiwa nishamaliza 12 tiari
Wee weka hapa vyakula gani ili tukagegede vizuri
 
Ujambazi

Kuvuta sigara na bangi

Kununua malaya badoo halafu sio wote natumia kinga kwao

Unga nakula mara moja moja sio sana

Sisali kabisa msikiti nshasahau ulivyo

Kula wake za watu

Kubeti hasa virtual

Hivi wakuu nitatoboa kweli

Kama una bet na unakula mbona fresh ila kama hela ulizoliwa ni nyingi kuliko ulizokula basi tambua bado una hasara kama mimi, na pia kama unawekaga jero ama buku kwenye kubet hata ukiliwa huwezi kuwa na stress kama mimi ninae liwa 500k au 800k.

NB : yote uliyasema hapo ni chukizo kwa mwenyezi mungu,tukaze buti tuache
 
Sijajua kuhusu punyeto mana ni jambo la hisia lakini kuacha kubet,uongo na kumcha Mungu ni mambo yanawezekana sana

Kuhusu bet
Fanya tathimini ya faida na hasara,uzuri wewe umeshaona uko na hasara nyingi kuliko faida...then punguza idadi ya siku unazobet(kama ulikuwa unabet siku tano kwa week,anza kubet siku mbili)
Halafu ukipunguza siku unazobet punguza na kiasi unacho-stake
With time utajikuta umeacha/umepunguza

Uongo
Hii ni rahisi kuacha ukianza kuwa na utu,anza kufikiria umuhimu wa huyo mtu unayemuongopea....pia unaweza kujiuliza wewe unapenda kudanganywa?kama jibu ni hapana unajua nini unatakiwa kufanya

Kumcha Mungu
Ukiwa na moyo wa shukurani ni rahisi pia kumcha Mungu

Asante kwa key point nzuri, nitaifanyia kazi
 
Daah pole sana mkuu, nilishajaribu kubet mara kadhaa nikaliwa so sina uraibu wa hicho kitu kabisaa labda nibet just for fun na sio kutegemea kwa 100%.

Mkuu kama una malengo jaribu kuipeleka pesa yako huko, inaonekana kubet kumeshakushinda iwekeze pesa yako kwenye biashara au hata kufungua fixed acxount ili tu usikae karibu nayo ukabetia.
Mimi ni mwanachama wa chaputa japo sio kama ww goli zote izo daah. Najua ugumu wa kuacha hii nadhani na wewe unaupitia kwa jinsi unavohangaika kuacha betting.
Wadau kibao wameshauri kuhusu kukaa mbali na mitandao kama shuuli zako hazihusishi sana mitandao kaa mbali na simujanja yako mkuu, kaa karibu na marafiki na madem zako.
 
Kubeti ni kama ulevi yaan kwanin usibeti pesa ndogo ndogo
 
Wakati mwengine hapo kwenye draft ndo anakuja bwege anatoa stori jinsi alivompiga muhindi jana
Sasa kwakua wewe unakua tayari ni mhanga msikilize tu lakini usimakinike nae tena kwa sababu hakuna usichokijua kuhusu betting na chukulia kama ni story za kufikilika tu wala hatakuathiri chochote.
 
Itakuwa hujanielewa upigaji punyeto wangu, nipo na porno movies ndani nimejifungia ndani kwam masaa 10 hadi 14 nisikojoe goli 8, huwa nakojoa hadi 12 sa kama sijapiga mda mrefu
Hakuna MTU mwenye uwezo wa kukojoa bao 12 kwa Siku 1 akabaki salama acha kutudanganya.
 
Brother mimi hata siyo mtu wa kuangalia mpira live kwenye tv ama simu ila huwa nafatilia matokeo live tu kwenye livescore ama sofascore na nafatilia kwa sababu nakuwa nimebet, any kwenye suala la kuacha kabisa kufatilia mambo ya mpira naweza kukubaliana na wewe japo siwezi acha ghafla ila pole pole nitaanza kujaribu kuacha.
Kuangalia mpira hakuwezi kumpelekea MTU abeti hata Siku moja,cha mhimu tu ili ufanikiwe kuacha hapo kwanza kabisa punguza dau unaloweka kwa mkeka 1 japo kwa 90%,punguza mategemeo kwa 90%(yani kuanzia Leo jua ile ni bahatinasibu)Mpira unamatokeo matatu,hakuna team ambayo ni sure,usiwekeze ndoto zako kwenye kamari n.k natamani niendelee lakini ntaharibu biashara ambayo mi mwenyewe-------------
 
siku nikitoka kwenye hivi vifungo nitaenda kumtolea Mungu shukrani ya pekee

Unaweza kuona ni chai ila mimi ndiyo muathirika ukweli naujua mimi.

Mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo uliopitiliza huwa napiga punyeto kwa kiwango ambacho hata mimi huwa najishangaa, naweza kujifungia geto kuanzia asubuh labda saa nne, nalala kitandani najaza GB 3 nakuwa nipo online kwenye web za porno tu mda wote, wastani kila baada ya saa napiga goli mbili, mle ndani hakuna ninachoangalia zaidi ya video za ngono, kwa sababu ya stress naweza kuja kuamka saa mbili au saa nne usiku na kumbuka ni since morning nipo ndani, na mpaka niamke ni kwamba uwezo wa kupizi tena sina kwa hiyo naamka kila kiungo cha mwili kinauma kwenda tu bafuni naenda nayumba kama mlevi aliyezidiwa pombe na nikishaoga ndo network zinaanzaga kurudi na naanza kujutia kitendo nilichofanya.

Kuna siku nililiwa hela ya ada ya chuo kwenye kubeti na mitihani imekaribia, nilijifungia geto kwa hasira nikaanza kuchek porno na kupiga punyeto tu nakumbuka nilipiga bao 12 siku hiyo mpaka nikawa nachechemea kusimama siwezi, mashine yangu ilichubuka ikawa na kitonda kabisa lakini bado nikawa napiga hivo hvo hata maumivu nikawa sihisi tena, na mimi kwenye suala la nyeto huwa situmii kilainishi chochote huwa ni mkono mkavu.
Mimi sehemu tunayotofautiana ni moja tu,hapo kwenye bao 12
 
siku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ".

Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto,

Nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
NIMECHEKA KINOMAAA HAHAHA
 
Ujambazi

Kuvuta sigara na bangi

Kununua malaya badoo halafu sio wote natumia kinga kwao

Unga nakula mara moja moja sio sana

Sisali kabisa msikiti nshasahau ulivyo

Kula wake za watu

Kubeti hasa virtual

Hivi wakuu nitatoboa kweli
virtual hutoboi
 
Unaweza kuona ni chai ila mimi ndiyo muathirika ukweli naujua mimi.

Mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo uliopitiliza huwa napiga punyeto kwa kiwango ambacho hata mimi huwa najishangaa, naweza kujifungia geto kuanzia asubuh labda saa nne, nalala kitandani najaza GB 3 nakuwa nipo online kwenye web za porno tu mda wote, wastani kila baada ya saa napiga goli mbili, mle ndani hakuna ninachoangalia zaidi ya video za ngono, kwa sababu ya stress naweza kuja kuamka saa mbili au saa nne usiku na kumbuka ni since morning nipo ndani, na mpaka niamke ni kwamba uwezo wa kupizi tena sina kwa hiyo naamka kila kiungo cha mwili kinauma kwenda tu bafuni naenda nayumba kama mlevi aliyezidiwa pombe na nikishaoga ndo network zinaanzaga kurudi na naanza kujutia kitendo nilichofanya.

Kuna siku nililiwa hela ya ada ya chuo kwenye kubeti na mitihani imekaribia, nilijifungia geto kwa hasira nikaanza kuchek porno na kupiga punyeto tu nakumbuka nilipiga bao 12 siku hiyo mpaka nikawa nachechemea kusimama siwezi, mashine yangu ilichubuka ikawa na kitonda kabisa lakini bado nikawa napiga hivo hvo hata maumivu nikawa sihisi tena, na mimi kwenye suala la nyeto huwa situmii kilainishi chochote huwa ni mkono mkavu.
Mkono mkavu goli 8? Hata mate hupaki?
IMG_20210619_233231.jpg
 
Punyeto mbona rahisi kuacha tafuta mademu ika nao visirani unaweza ukasema bora punyeto maana Kaswende,kisonono na Ngoma hupati wala hutakuwa na wasi nazo japo nayo no dhambi balaa. Kubeti hata ukiomba huachi labda uamue tu kuacha naachaga hata mwezi ila baadae narudia kidogo ila naona ushindi mbele, Uongo du mimi nisiposemq uongo naona siko sawa ila nimeona ni maisha ya kawaida almradi sisemi uongo usio na sababu.

JAMBO LA MSINGI NA LA SEKONDARY NI KUJUA JEHANAM IKO NA MOTO UNATUSUBIRI TUKACHOMWE HAYO MENGINE YASIKUSUMBUE
 
Back
Top Bottom