Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Mmh!kwa upande mwingine sikushangai coz mwenyew yote ayo milishapitia,cha msingi tu kwa kua umeshatambua mchawi wa maendeleo yako in nani basi ndo mwanzo wa mabadiliko.

Hivyo basi Jaribu kukaa hata wiki bila kubeti uone mabadiliko.Pia jaribu kujichanganya ata kwenye draft au bao uo muda unaotumia kubeti ili kufuta hayo mawazo naimani ukiweza kuyafanya hayo basi utakua ushajiokoa kwa asilimia kama 60

kama umesoma vizuri uzi wangu nimesema "nishajaribu mara kadhaa kuacha ila najikuta ni kama nimepumzika tu narudia tena".

sim janja simerahisha mambo, naweza beti nikiwa kwenye gari, nikiwa nacheza bao, nikiwa kazini, nikiwa kanisani popote pale cha msingi tu nna sim ya ku access internet, kwa hiyo hakunaga eti kuna mda maalumu natenga kwa ajili ya kubeti
 
Wakuu nje kidogo ya mada, hivi punyeto Ina uhusiano wowote na mtu kuchelewa kukua ( delayed growth) ?? ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Chai ya moto sanaaaa, Wanaume wengi tushawahi piga punyeto ila mara nyingi bao moja tu, kwanza likishatoka utaki hata kuendelea...huyu nane, nimesoma nikasema hiiiiiiiiiii hahahah
Niliendaga kusoma mbeya miaka ya 2010 nilikua najamaa flani ivi wote tulitoka mkoa mmoja. Skumoja jamaa alipatwa nakizunguzungu akaanguka gafla baada ya kupewa huduma yakwanza jamaa akasema alikua kashapiga 12 kwa sikumoja
 
Habari zenu wakuu,

Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi ?

MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.

MBILI : PUNYETO ; Hii ndo huwa sehemu yangu ya kupunguza machungu baada ya kuliwa hela kubeti.yaani naweza weka laki 5 nikishaliwa naweka GB 3 kwenye simu najifungia geto nacheki video za ngono na kupiga punyeto tu kwa siku nzima najikuta nimepiga goli 8 hadi 12 hadi miguu inaishiwa nguvt nashindwa hata kusimama na nakojoa matone siyo nyege tena.

TATU : UONGO ; Hii imesababishwa kwa kiasi kikubwa na kubeti, pesa ambayo ningewapa wazazi wangu wafanyie mambo ya msingi najikuta nimebetia imeliwa kwa hiyo naanza kutunga stori za kiwango cha digrii ili tu nieleweke ingawa haisaidii kitu maana mwongo mwisho wa siku huumbuka tu.

NNE NA MWISHO : KUTOMCHA MUNGU ; mara kadhaa nimekuwa nikiamini kuwa nikimcha mungu katika usiriazi basi sitabeti,sitapiga punyeto na sitadanganya, lakini nako nashindwa, natubu nakaa wiki moja kama sina hela nauza hata kitu ndani kama sabufa hivi hela nabetia naliwa yote narudi kupiga punyeto kujipoza machungu ya kwa kifupi najiona nna maisha mafupi kwa uraibu wa hizi tabia nilizo nazo .
Dah....nimepitia uzi wako zaidi ya mara 100.....nukta kwa nukta.... Sijaona tatizo lolote...[emoji2960]
 
Pole sana kijana. Ushagundua tatizo fanya jitihada kuliacha
 
Niliendaga kusoma mbeya miaka ya 2010 nilikua najamaa flani ivi wote tulitoka mkoa mmoja. Skumoja jamaa alipatwa nakizunguzungu akaanguka gafla baada ya kupewa huduma yakwanza jamaa akasema alikua kashapiga 12 kwa sikumoja
Huyu anastahili angalau ukurugenzi wa kanda mojawapo za CHAPUTA [emoji16][emoji16]
 
Niliendaga kusoma mbeya miaka ya 2010 nilikua najamaa flani ivi wote tulitoka mkoa mmoja. Skumoja jamaa alipatwa nakizunguzungu akaanguka gafla baada ya kupewa huduma yakwanza jamaa akasema alikua kashapiga 12 kwa sikumoja

12 hata mimi nimewahi kupiga, hasa ukiwa frastratated ukaongeza na viji hasira kidogo mbona utaziona ni kama tatu tu
 
siku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ".

Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto,

Nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
Dah kumbe tupo wengi...yaani mie mbususu kila nikijaribu kuacha aah wapi utam utam unaniita tuu
 
Back
Top Bottom