Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...hamna tatizo....wenzako wanaliwa laki 5 na madem halafu wanaishia kupiga bao 2 tu na kupewa virus...sasa wewe bao 12 zenye usalama unalalamika nini?...duuh....tatizo lipo mkuu tena kubwa mno
Hata uongo siyo ishu kivilee ....kuna watu mbona laif iko njema tu kwa sababu ya huu uongo unaotaka kuukimbia....tena wanadanganya hadharani....kwa vipaza sauti...mbele ya makamera ...akishawapiga saundi anaingia ndani ya viete...watoto wake wanaenda shule..... Sasa wewe ni nani unayetaka kuuacha uongo mdogo unaokupa hela ya mboga?
Swala la KUMCHA Mungu siyo ishu kivilee...ishu ni kuwa na IMANI ,[emoji2960]