Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna kadi ya CCM kweli wewe?Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi ?
MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.
MBILI : PUNYETO ; Hii ndo huwa sehemu yangu ya kupunguza machungu baada ya kuliwa hela kubeti.yaani naweza weka laki 5 nikishaliwa naweka GB 3 kwenye simu najifungia geto nacheki video za ngono na kupiga punyeto tu kwa siku nzima najikuta nimepiga goli 8 hadi 12 hadi miguu inaishiwa nguvt nashindwa hata kusimama na nakojoa matone siyo nyege tena.
TATU : UONGO ; Hii imesababishwa kwa kiasi kikubwa na kubeti, pesa ambayo ningewapa wazazi wangu wafanyie mambo ya msingi najikuta nimebetia imeliwa kwa hiyo naanza kutunga stori za kiwango cha digrii ili tu nieleweke ingawa haisaidii kitu maana mwongo mwisho wa siku huumbuka tu.
NNE NA MWISHO : KUTOMCHA MUNGU ; mara kadhaa nimekuwa nikiamini kuwa nikimcha mungu katika usiriazi basi sitabeti,sitapiga punyeto na sitadanganya, lakini nako nashindwa, natubu nakaa wiki moja kama sina hela nauza hata kitu ndani kama sabufa hivi hela nabetia naliwa yote narudi kupiga punyeto kujipoza machungu ya kwa kifupi najiona nna maisha mafupi kwa uraibu wa hizi tabia nilizo nazo .
Mkuu nondo yako nimeilewa na imenitia moyo sana.Uzuri umepata neema ya kuona na kutambua madhaifu yako. Kwa hiyo uko katika nafasi nzuri sana kujinasua kutoka katika maasi hayo. Haitakuwa kazi rahisi lakini kwa jitihada binafsi, maombi pamoja na ushauri utafanikiwa. Ingawa kuna kuteleza mara kwa mara ila isikukatishe tamaa utavuka.
Watu tumepiga nyeto goli nne per day siku tatu mfululizo hahahah na tuliacha
Hahahah wewe sio wa kwanza vijana wengi tumepitia hiyo ishu ni kawaida so ni stage kwenye maisha so itapita tu.Relax life is simple don't be too serious
Tafuta girlfriend mwenye misimamo na umweleze tatizo lako la kubet. Spend nae muda mwingi unapokua haupo kazini na mtafute hobby nyingine mtayo share pamoja .
[/QUOTE
kumtafta dem inaweza isiwe tatizo sana ila kipengele kinakuja kwenye kuacha kubet maana tatizo nikishakuwa na cm ya ku-access internet basi naweza kisiri siri hata dem hawezi jua hata kama niko nae hapo na clear had search history kwa google engine hakuti kitu
maisha yako yanafanana na yangu umenigusa 90%Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi ?
MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.
MBILI : PUNYETO ; Hii ndo huwa sehemu yangu ya kupunguza machungu baada ya kuliwa hela kubeti.yaani naweza weka laki 5 nikishaliwa naweka GB 3 kwenye simu najifungia geto nacheki video za ngono na kupiga punyeto tu kwa siku nzima najikuta nimepiga goli 8 hadi 12 hadi miguu inaishiwa nguvt nashindwa hata kusimama na nakojoa matone siyo nyege tena.
TATU : UONGO ; Hii imesababishwa kwa kiasi kikubwa na kubeti, pesa ambayo ningewapa wazazi wangu wafanyie mambo ya msingi najikuta nimebetia imeliwa kwa hiyo naanza kutunga stori za kiwango cha digrii ili tu nieleweke ingawa haisaidii kitu maana mwongo mwisho wa siku huumbuka tu.
NNE NA MWISHO : KUTOMCHA MUNGU ; mara kadhaa nimekuwa nikiamini kuwa nikimcha mungu katika usiriazi basi sitabeti,sitapiga punyeto na sitadanganya, lakini nako nashindwa, natubu nakaa wiki moja kama sina hela nauza hata kitu ndani kama sabufa hivi hela nabetia naliwa yote narudi kupiga punyeto kujipoza machungu ya kwa kifupi najiona nna maisha mafupi kwa uraibu wa hizi tabia nilizo nazo .
huu uzi.nimecheka.sanasiku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ".
Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto,
Nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
Hakuna kijana ambaye hajapitia au hapitii hivyo , asilimia 95 ya vijana wa kiafrika tunapitia hayo .
Hapo bado hujaweka ulevi na umalaya
shukuru MUNGU haupo kwa uraibu kama wangu mimi na wala sikuombei ukupate.huu uzi.nimecheka.sana
maisha yako yanafanana na yangu umenigusa 90%
unanigusa 100%Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako na pia kuchukua mda wako kusoma linalo nikabili na kunipa ushauri wenye mwangaza nakuahidi nitaufanyia kazi.
Cha kuongezea tu ili unielewe vizuri ni kwamba ninacho amini mimi (maana mimi ndiyo najijua niliyeko kufungoni).
NI KWAMBA : Betting ndiyo kiini cha yote haya yalonikumba, maana betting ndiyo inanifanya niwe na MSONGO WA MAWAZO (STRESS) pale ambapo nakuwa nimeshaliwa hela, alafu nikisha kuwa tu msongo mawazo basi wazo la ngono linanijia na wazo la ngono likishanijia kuanza kutafta dem ni process ndefu kwa hiyo huwa najikuta naangukia kwenye PUNYETO na nikishapiga punyeto badae akili huanza kurudi sawa na kujitafakari upia na nikisha jipanga upya ili mipango niende sawia kama niliahidia na watu inabidi nidanganye (UWONGO).
Hii ndiyo circle ya maisha yangu ilivyo mkuu : BETTING + STRESS/FRUSTRATION +PUNYETO+UWONGO = CHUKIZO KWA MUNGU ALAFU KIFO TU NDO KINAFATA HAKUNA KINGINE MAANA NISHATESEKA SANA KWENYE HIKI KIFUNGO
nacheka bro coz vitu vinafurahisha kuna siku nimeliwa ada nikauza iphone.yangu.nicheze.spin. pia.nikaliwa nadaiwa mpaka leoNimekugusa kwa asilimia 90 huku kuna mahali umecheka sana ukasema uzi unachekesha !
Hauko siriazi brother
Huna kadi ya CCM kweli wewe?
niko pia nishajaribu kuacha ishashindikana kamari imekua sehemu ya maisha....punyeto piashukuru MUNGU haupo kwa uraibu kama wangu mimi na wala sikuombei ukupate.
nakuja pm mkuuUna pepo baya tafuta tiba ASAP