Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni jana ndiyo umeacha basi wewe mkuu hujaacha bali umepumzika tu kidogo.Kumbuka binadamu tunatofautiana sana mkuu. Mimi nilikuwa napiga tano mpaka sita, jana tu ndo nimeacha nyeto rasmi.
kama hujaingia shukuru MUNGU na usiingie kabisa na pia oa mapema kama unataka kuoa kweli maana ukichelewa tu kidogo utajikuta uko chamaniAisee mimi, hiyo namba mbili naendelea kuikataa hiyo roho chafu iniache kabisa , maana kwa sasa nina demu na mwingine napanga kumuoa
Pole sana mkuuMkuu nashukuru sana kwa ushauri wako na pia kuchukua mda wako kusoma linalo nikabili na kunipa ushauri wenye mwangaza nakuahidi nitaufanyia kazi.
Cha kuongezea tu ili unielewe vizuri ni kwamba ninacho amini mimi (maana mimi ndiyo najijua niliyeko kufungoni).
NI KWAMBA : Betting ndiyo kiini cha yote haya yalonikumba, maana betting ndiyo inanifanya niwe na MSONGO WA MAWAZO (STRESS) pale ambapo nakuwa nimeshaliwa hela, alafu nikisha kuwa tu msongo mawazo basi wazo la ngono linanijia na wazo la ngono likishanijia kuanza kutafta dem ni process ndefu kwa hiyo huwa najikuta naangukia kwenye PUNYETO na nikishapiga punyeto badae akili huanza kurudi sawa na kujitafakari upia na nikisha jipanga upya ili mipango niende sawia kama niliahidia na watu inabidi nidanganye (UWONGO).
Hii ndiyo circle ya maisha yangu ilivyo mkuu : BETTING + STRESS/FRUSTRATION +PUNYETO+UWONGO = CHUKIZO KWA MUNGU ALAFU KIFO TU NDO KINAFATA HAKUNA KINGINE MAANA NISHATESEKA SANA KWENYE HIKI KIFUNGO
Hizo ni changamoto nzito nicheki WhatsApp tunaweza fanya kitu na ukaumba uhai ndani yako 0673607107Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi ?
MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.
MBILI : PUNYETO ; Hii ndo huwa sehemu yangu ya kupunguza machungu baada ya kuliwa hela kubeti.yaani naweza weka laki 5 nikishaliwa naweka GB 3 kwenye simu najifungia geto nacheki video za ngono na kupiga punyeto tu kwa siku nzima najikuta nimepiga goli 8 hadi 12 hadi miguu inaishiwa nguvt nashindwa hata kusimama na nakojoa matone siyo nyege tena.
TATU : UONGO ; Hii imesababishwa kwa kiasi kikubwa na kubeti, pesa ambayo ningewapa wazazi wangu wafanyie mambo ya msingi najikuta nimebetia imeliwa kwa hiyo naanza kutunga stori za kiwango cha digrii ili tu nieleweke ingawa haisaidii kitu maana mwongo mwisho wa siku huumbuka tu.
NNE NA MWISHO : KUTOMCHA MUNGU ; mara kadhaa nimekuwa nikiamini kuwa nikimcha mungu katika usiriazi basi sitabeti,sitapiga punyeto na sitadanganya, lakini nako nashindwa, natubu nakaa wiki moja kama sina hela nauza hata kitu ndani kama sabufa hivi hela nabetia naliwa yote narudi kupiga punyeto kujipoza machungu ya kwa kifupi najiona nna maisha mafupi kwa uraibu wa hizi tabia nilizo nazo .
Wakati mwengine hapo kwenye draft ndo anakuja bwege anatoa stori jinsi alivompiga muhindi janaMmh!kwa upande mwingine sikushangai coz mwenyew yote ayo milishapitia,cha msingi tu kwa kua umeshatambua mchawi wa maendeleo yako in nani basi ndo mwanzo wa mabadiliko.
Hivyo basi Jaribu kukaa hata wiki bila kubeti uone mabadiliko.Pia jaribu kujichanganya ata kwenye draft au bao uo muda unaotumia kubeti ili kufuta hayo mawazo naimani ukiweza kuyafanya hayo basi utakua ushajiokoa kwa asilimia kama 60
Lutiwa madole, umeacha?Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi ?
MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.
Na nia halaf omba msaada wa Mungu mpendwa utoke kwenye vifungo hvyo. Hakuna mkamilifu wengi tu tunastruggle kuacha dhambi na uovu kweli ni kipengele, lakini tujitahidi kujisogeza kwake Mungu tukimwambia peke yetu hatuwezikushindana na kiumbe wa kiroho katika umbile (shetani) na wewe ukiwa katika mwili (binadamu) napo kipengele kingine ambacho waliopewa nguvu hiyo na MUNGU nafikiri ni wachache sana na mimi huenda sikuwa miongoni mwao.
Lakini nia ya kubadilika kabisa nilikuwa nayo ila kwa sasa ni nikama nimeacha nature iniongoze yenyewe inavyotaka kunipelaka
Hizo n Changamoto nzito nicheki WhatsApp tunaweza fanya kitu na ukaumba uhai ndani yako 0673607107
Ni kweli lakini anza
na nia halaf omba msaada wa Mungu mpendwa utoke kwenye vifungo hvyo. Hakuna mkamilifu wengi tu tunastruggle kuacha dhambi na uovu kweli ni kipengele, lakini tujitahidi kujisogeza kwake Mungu tukimwambia peke yetu hatuwezi
Naona umefocus kwenye goli 8 na siyo kwenye addiction inayonikabili.Hizo goli 8 itakuwa unakojoa kama kuku wewe.
Uzuri umepata neema ya kuona na kutambua madhaifu yako. Kwa hiyo uko katika nafasi nzuri sana kujinasua kutoka katika maasi hayo. Haitakuwa kazi rahisi lakini kwa jitihada binafsi, maombi pamoja na ushauri utafanikiwa. Ingawa kuna kuteleza mara kwa mara ila isikukatishe tamaa utavuka.Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi ?
Daaah! Pole Sana bro!siku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ". Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto, nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
Inashtua kukojoa mara 8 kwa punyeto siyo hali ya kawaida unahitaji uchunguzi wa kina.Naona umefocus kwenye goli 8 na siyo kwenye addiction inayonikabili.
Any way nakojoa kama nzi
Ila uache kubeti unatakiwa uache kuangalia mpira. Sasa kuacha kuangalia mpira ndiyo pagumu. Yaani ishu za mpura uachane nazo kabisa
Inashtua kukojoa mara 8 kwa punyeto siyo hali ya kawaida unahitaji uchunguzi wa kina.
Daaah! Pole Sana bro!
Kama Ni muumini katika dini , jitahidi kujihusisha nayo katikati ya hayo unayoyafanya wakati fulani utajikuta moja kwa moja utakua umeyaacha hayo yote.