kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Pole sana mkuu.
View attachment 1849578
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka binadamu tunatofautiana sana mkuu. Mimi nilikuwa napiga tano mpaka sita, jana tu ndo nimeacha nyeto rasmi.Chai ya moto sanaaaa, Wanaume wengi tushawahi piga punyeto ila mara nyingi bao moja tu, kwanza likishatoka utaki hata kuendelea...huyu nane, nimesoma nikasema hiiiiiiiiiii hahahah
Unapiga kwa mkono mkavu? [emoji16][emoji16][emoji16] Wewe inafaa ujengewe sanamu pale chamwino.unaweza kuona ni chai ila mimi ndiyo muathirika ukweli naujua mimi.
mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo uliopitiliza huwa napiga punyeto kwa kiwango ambacho hata mimi huwa najishangaa, naweza kujifungia geto kuanzia asubuh labda saa nne, nalala kitandani najaza GB 3 nakuwa nipo online kwenye web za porno tu mda wote, wastani kila baada ya saa napiga goli mbili, mle ndani hakuna ninachoangalia zaidi ya video za ngono, kwa sababu ya stress naweza kuja kuamka saa mbili au saa nne usiku na kumbuka ni since morning nipo ndani, na mpaka niamke ni kwamba uwezo wa kupizi tena sina kwa hiyo naamka kila kiungo cha mwili kinauma kwenda tu bafuni naenda nayumba kama mlevi aliyezidiwa pombe na nikishaoga ndo network zinaanzaga kurudi na naanza kujutia kitendo nilichofanya.
Kuna siku nililiwa hela ya ada ya chuo kwenye kubeti na mitihani imekaribia, nilijifungia geto kwa hasira nikaanza kuchek porno na kupiga punyeto tu nakumbuka nilipiga bao 12 siku hiyo mpaka nikawa nachechemea kusimama siwezi, mashine yangu ilichubuka ikawa na kitonda kabisa lakini bado nikawa napiga hivo hvo hata maumivu nikawa sihisi tena, na mimi kwenye suala la nyeto huwa situmii kilainishi chochote huwa ni mkono mkavu.
AMUAsiku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ". Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto, nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
Polesiku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ". Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto, nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
Pole sana ndugu yangu, ila kitu cha kukushauri addiction yeyote huwezi kuamua kuacha na ukaacha ghafla. It takes time, discipline & commitment na pia hizo tabia utaweza kuziacha kwa hatua ila sio kwa mara moja.
Mfano jiwekee malengo ya kuacha punyeto, kubeti n.k ndani ya miezi sita au mwaka kwa hatua na mipango. Kama ulizoea kupiga punyeto kila siku kwa wiki basi weka mpango wa kupunguza na kufanya mara tano kwa wiki. Ukiweza kupunguza hadi hizo siku punguza tena hadi mara 4 au 3 kwa wiki. Endelea hadi mara mbili moja hadi uache kabisa. Kumbuka hatua moja inaweza kuchukua wiki kadhaa hadi mwezi ili ufaulu ndio maana nasema inachukua muda.
Kuhusu kubeti unaeza kufuata hatua zile zile mfano km ulizoea kubeti laki5 basi jiwekee mpango wa kupunguza kiwango chako cha kubeti labda hadi laki 3, shuka hadi laki 2, 1 hadi elfu 50 mpaka uache kabisa. Kumbuka kuzingatia uamuzi wako usije kupunguza hadi laki 1 ukarudi tena laki 5 utakuwa unafanya kazi bure ndio maana nasema unahitaji discipline na commitment..
Kila kitu kinawekana kama ukiamua wengi wamepitia hayo na wamevuka hata wewe unaweza. Nakutakia kila la kheri naamini utafanilkiwa.
God bless you.
Mkuu punguza stake ya kubet mm nabet lakn stake yangu n 10k kwa wiki mkeka mmoja naweka 5k na ninacheza double chance mwisho odds 2 sizid hapo na n timu kubwa tu
Usibet ili upate hela ya utajiri mkuu bet for fun hautoumia
Kiukwel betting n uraibu simshaur kijana yeyote ajiunge na hiki kiwanda
Pole kijana mwenzangu. Niliacha kubeti tu, nilikosa hamu baada ya kuwa naliwa sana baadae nika lose interest nikaacha.
Punyeto fanya kistaarabu. Sio vibaya kupiga nyeto kwa kiasi.
Ongeza hobby zingine kama movies, kuogelea, tours etc itakupa nafaci ya kuexplore mengine yaliyojificha na ubongo wako kuacha kuwaza machache.
Fungua biashara.
Anza kusoma vitabu utabadilika, hasa self help books baadae self improvement fatilia watu wenye kunena maneno ya hekima, pendelea kusoma quotes pia.
Penda kuwafanyia ndugu zako mazuri rudisha roho ya kujali badala ya kujijali zaidi, punguza matamanio ya maisha mazuri kwa kuelewa mafanikio ni nini.
Pendelea kuanda bajeti kabla ya matumizi. Kila senti iende kwenye lengo.
Jisamehe na samehe wengine.
Ukifanya hivyo UTABADILIKA WITHIN A MONTH.
Unapiga kwa mkono mkavu? [emoji16][emoji16][emoji16] Wewe inafaa ujengewe sanamu pale chamwino.
Pole kijana mwenzangu. Niliacha kubeti tu, nilikosa hamu baada ya kuwa naliwa sana baadae nika lose interest nikaacha.
Punyeto fanya kistaarabu. Sio vibaya kupiga nyeto kwa kiasi.
Ongeza hobby zingine kama movies, kuogelea, tours etc itakupa nafaci ya kuexplore mengine yaliyojificha na ubongo wako kuacha kuwaza machache.
Fungua biashara.
Anza kusoma vitabu utabadilika, hasa self help books baadae self improvement fatilia watu wenye kunena maneno ya hekima, pendelea kusoma quotes pia.
Penda kuwafanyia ndugu zako mazuri rudisha roho ya kujali badala ya kujijali zaidi, punguza matamanio ya maisha mazuri kwa kuelewa mafanikio ni nini.
Pendelea kuanda bajeti kabla ya matumizi. Kila senti iende kwenye lengo.
Jisamehe na samehe wengine.
Ukifanya hivyo UTABADILIKA WITHIN A MONTH.
Mungu atakusaidia
Wewe ni kichaa unayejijua kuwa ni kichaa.siku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ". Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto, nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
Binadamu wote tunakosea ila mbora ws wakoseaji ni yule anapobaini kosa au mienendo isiyoridhisha anarud Kwa Mungu kwa Toba.
Pia mambo yote tuyatendayo mengine ni kutokan na kuindekeza nafsi na wala haiana maan kuwa hayawezekani kuachika.
Iambie nafsi yako iachane nayo hayo mambo na mwenyeewe tia nia moyoni kuhusu kuyaaacha nina imani utayaacha.
SawaWewe ni kichaa unayejijua kuwa ni kichaa.
Hongera sana