Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Hapo uliamua vizuri ila ulitakiwa uanze kwenda na watu wengine wanaojua Biblia ili uelewe kumtegemea Mungu vizuri,o kwa kupata mafunzo zaidi.

Kusali sala ile hakukufanyi wewe ubadilike ghafula. Unahitaji kusali na kusoma Neno la Mungu na ikilieezekana hali uliyofikia ulihitaji kukariri mistari inayokataza tabia hizo.
 
Mleta mada very soon utaanza kuliwa "jicho"
Usipobadilika narudia tena karibu sana utatafunwa..!
 
Mkuu kama kawa bado nipo kwenye chama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliacha siku mbili tuu. Ee Mungu nisaidie. [emoji120][emoji120]
 
Good, Hongera unafaa kuwa mshauri nasaha.
 
Chai ya moto sanaaaa, Wanaume wengi tushawahi piga punyeto ila mara nyingi bao moja tu, kwanza likishatoka utaki hata kuendelea...huyu nane, nimesoma nikasema hiiiiiiiiiii hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amen
 
Dah pole Sana ndugu.Fikiria jamii yako wazazi wako, ndugu zako na uache Jambo Hilo baya wewe niwathamani sana ktk taifa hili na familia yako Kaka, tafakari upya juu ya betting, watu wanabet Ila kiwango chako ni harmful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…