Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanaume wa Dar c ndo hawa!!?
 

Attachments

  • 1459099285939.jpg
    48.5 KB · Views: 30
Hahahaha eti sauti kama Wema Sepetu,

Wapiiii wanaume wa Dar mbona hamjibu mapigo?
 
Ha ha ha haaaa, kweli unahitaji macho tu.. Asante mkuu, wamekusikia watabadilika ili watuwakilishe vzr maana hawa ndo Tanzania (they said).
 
kwa uzoefu wangu kwa jiji la arusha wanawake ndio wanafanya kazi kuzidi wanaume. wanaume wa arusha ndio wanatabia za kulelewa na kushinda kwenys mabanda ya pombe na bar alafu wanaume wa arusha ni wambea kuliko wanawake wao
 
wanaume wa daslamu wengi wao wanapenda sana umbea wa instaglamu....na wanapenda sana kudiscus wakina wema sepetu.....
 
wanaume wa Dar wanabishania timu za mpira za ulaya utadhani ndo makocha wa hizo timu.
 
Jamani mbna inajulikana hata mikoani kunawatu wenye tabia hizo. Bila shaka huyu mleta mada kafanywa vbaya na vjana WA DAR
 
Wanaoharibu Dar ni hao wanaume wanaotoka mikoani kama wewe na kizamia... ndiyo chambo.. hawajielewi wala kuelewa chochote...
 
Amesahau kuwa japokuwa simba ni mkali huwa anazaa
 
Mwezi mmoja umeyajua hayo yote?kaka taratibu
 
Hawa hapa wanaume wa Dar au sio!!? Ha ha haaaa, ngoja nikuwekee uone makalio yao utayapenda
 

Attachments

  • 1459107128476.jpg
    34 KB · Views: 26
PANYA ROAD nasikia wanakimbiza na kufunga mtaa. Inakuaje na wanaume wa Dar wanakua wapi mda huo? Ha ha ha ha haaaa! Nasikia ndio maana Police huchukuliwa wanaume wa Dar, ila JWTZ wanachukuliwa Mikoani. Basi jamaa watakua na sababu za msingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…