Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HTunafanana kwa lipi mkuu?...
Ndoo hao, alafu wako kibao siku hizi wanapita tu na mikoba ya kike mkononi wameibeba kikikekike na wenyeji wanadai ni kawaida, hii ni hatari.Wanaume wa Dar c ndo hawa!!?
Mh hatari nadhani watakoma!mbona hatuwasemi mnaotokaga mikoani mkakujaga mnanuka ubeberu mkipewa hifadhi siku mbili mnajifanya mnawajua wanaume wa dar
kwa uzoefu wangu kwa jiji la arusha wanawake ndio wanafanya kazi kuzidi wanaume. wanaume wa arusha ndio wanatabia za kulelewa na kushinda kwenys mabanda ya pombe na bar alafu wanaume wa arusha ni wambea kuliko wanawake waoNi kweli mkuu baadhi ya wanaume wa Dar Wakija mikoani wanapenda kulelewa kwa mfano hapa arusha wanaume wa Dar Wengi Wao wana tabia ya kulelewa na wanawake alafu ni wambea yani kila kitu ukimwambia anasema , mwanau Hawez hata kujishughulisha anamtegemea mwanamke yy anachojua ni mechi ya 6 x 6 na ukikaa vibaya anatembea had na marafiki zako. Hapa arusha wanawake Wengi wanalalamika kuwa wanaume wa Dar wanapenda kulelewa. Na ukiishiwa wanakuacha wanahamia kwa mwanamke mwingine.
buleMkuu huyu mtu wa Shamba kuna kitu KAFANYWA na wanaume wa Dar si bule huyu
Hahahah!!!!Wewe ni mwanaume ,shoga au mwanamke?
Amesahau kuwa japokuwa simba ni mkali huwa anazaaHicho ndo kilichokukimbiza, yaelekea ulikuwa unapenda kuchunguzachunguza maisha ya watu wakaamua kukufungia kazi na kukuomba nyuma,
Na ole wako ungekuwa mnywa pombe ukapewa ofa ukaikubali, lazima ungetafunwa
Una bahati sana, siku nyingine uwe mwangalifu, usidhani kukunja ndita usoni ndo watu tutakuogopa, tunakufumua tu, sura inafunikwa na gazeti
Mwezi mmoja umeyajua hayo yote?kaka taratibuHabari za mchana mabibi na mabwana. Nina uhakika leo wengi mpo nyumbani au mmeenda matembezini kujinafasi na hii sikukuu ya Pasaka. Wengine pia mpo kazini mkipiga kazi.
Sio lengo langu kuongea kuhusu watu hasa wanaume, na sisi vijana wa shoka ambao ni wa "mkoani" kama tunavyoitwa na wana Dar slum SIO HULKA YETU ila kwa sababu ni wanaume wa hapa Tanzania, tunaguswa na kushangazwa na mienendo ya wanaume wa Dar slum.
Baada ya kuwepo Dar Slum kwa muda wa mwezi mmoja nikifuatilia dili langu fulani, hatimaye nilifanikiwa na kurudi mkoani.
Ila ukweli ni kwamba nimeshangazwa sana na wanaume wa Dar. Asilimia 90% wana haya yafuatayo ambayo kwa mwanaume wa kawaida rijari kama sie wa mikoani huwezi tukuta na hizi tabia;
Wanaume wa Dar Slum:
1. Wanawake wao wanalalamika hawawaridhishi kitandani,
2. Wengi wanalia lia tu kila wanapoombwa hela na wapenzi wao, eti wanataka usawa,
3. Wengine wamewekwa ndani na wanawake, yaani wanalelewa.
4. Wana vitambi, yaani unakuta kijana mdogo kabisa na ni mwembamba ila kitambi hicho,
5. Wanatinda nyusi,
6. Nao wanaoshwa kucha za miguuni na wanaume wenzao.
7. Wanalia lia hamna kazi ila wanachagua kazi za kufanya,
8. Unakuta jibaba zima liko juu ya miaka 25 ila linakaa kwa baba na mama au bado ni tegemezi,
9. Wako dhaifu sana, hawana tabia ya kufanya mazoezi ya kuimarisha afya, wakivamiwa makwao ni full kukimbia kuomba misaada kwa majirani ambao nao ni wanaume wale wale, kitu ambacho sisi wanaume wa mikoani kama kuna ishu ya mabavu na busara huwa tunaimaliza kishujaa,
10. Wanaogopa kuja MIKOANI ambako ndo kuna hela,
11. Makaka poa wapo kila kona na wanaume wengine wanaona eti ni kawaida kuwa Mungu aliwaumba hivyo,
12. Wavivu, unakuta yupo ktk basi na kuna foleni yeye anaenda sehemu ambayo ni kama mita 300 toka liliposimama basi ktk foleni ila yuko tayari asubiri hata dk 50 ndani ya basi.
13. Wanaume Wenye magari wanatembea na madumu ya mafuta,
14. Wachafu, Ukienda mahali wanapoishi kwa wale walio mabachelor ni kama zizi la ng'ombe,
15. Wanaume wanakojoa kojoa popote tu barabarani kama mbwa,
16. Kwa wale vijana unakuta kavaa suruali kaweka chini ya makalio na anaona ni sawa tu kuonyesha nje nje nguo yake ya ndani tena chafu,
17. Unakuta wanaume wenye familia jioni wamekaa kwenye kahawa na kashata wanaongea umbea,
18. Etc
Kwa kweli nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa Dar, hayo ni baadhi ya mapungufu yao, ila yako mengi sana!
Na jiji lenyewe ni KERO. Isiponyesha mvua ni jua kali, joto foleni na vibaka, ikinyesha mvua ni matope, madimbwi ya maji hadi mjini posta.
Kwa kifupi, wanaume wa Dar Slum mjirekebishe, wanaume hatitakiwi kuwa hivyo! Mtuige sisi wa mkoani.