Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Hatari, mwezi wa 10 mwaka jana niliitwa usaili jijini Dar, nikasafiri toka Rock City ninapoishi nikafikia geto kwa chalii angu.....usaili wenyewe nguo nikaazima za kwake. Mi nilienda na pensi zangu za misele tu. Nna muda...aahunakuta mtu anaazima nguo cheni saa viatu ili tu akamtongoze demu
si afadhali wa mikoani wanaazima nguo ili wakaombee kazi!!!!!
lakini kazi si ulipata mkuu...Hatari, mwezi wa 10 mwaka jana niliitwa usaili jijini Dar, nikasafiri toka Rock City ninapoishi nikafikia geto kwa chalii angu.....usaili wenyewe nguo nikaazima za kwake. Mi nilienda na pensi zangu za misele tu. Nna muda...aah
Naskia sumatra wametoa mapendekezo muwe mnapanda mafuso mchanganyike na wenzenu(ng'ombe) msichanganyike na binadamu wa kawaida mkiwa mnakuja mjini.
Demu gani atakubali hata kusalimiwa na wewe kwa harufu unayotoa?labda sio dar.Sisi tutakuja hata kwa baiskeli
Na tunanuka kama beberu ila tukimpata demu wako atakuja kukuhadithia yaliyo mpata
Vinafanya maisha yako yasogee,usisahau kwenda shamba asubuhi.Vivulana vya dar bwana[emoji23] [emoji23]
Acha kuwapendelea hao wapori pori wa Bara huko tutakuwa hatuna imani na wewe sasaNaaam mabibi na mabwana ni masaa machache tangu kupulizwa kipyenga..Naona pambano limenoga haswaa, vidume wametunisha misuli vya kutosha kuonyesha nani zaidi ya mwenzie Kwa ajili ya lile kombe la wanaume rijali hapo april moja!si mchezo!!!
Mpaka sasa waporipori wana point 880 huku watoto wa mjini wakikaribia kuwasogelea kwa point 775.
MTANANGE UNAENDELEA!!! SIO YA KUKOSA BABAKE!!
mastaa wengine wametokea bara kina mrisho ngassaHivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?
Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
hahhaaahaa! RAPHERL MI NKO FAIR SANA..Angalia mwenyewe halafu uniambie! NANYI JITAHIDINI KUJIBU MAPIGO!Acha kuwapendelea hao wapori pori wa Bara huko tutakuwa hatuna imani na wewe sasa
kwani mtu wa dar ni yupi?mastaa wengine wametokea bara kina mrisho ngassa
kuna mtu alisema mastaa wako darkwani mtu wa dar ni yupi?
Sasa kosa lake nini?mtu kama kaamua maisha yake yako dar mfano diamond,ally kiba,fidq,kina bele 9 na wengine wote wana origin zao,hawa nao ni wanadrsm au huui kua dar ndio tanzania?kuna mtu alisema mastaa wako dar
Demu gani atakubali hata kusalimiwa na wewe kwa harufu unayotoa?labda sio dar.
ndugu naona umedandia treni kwa mbeleSasa kosa lake nini?mtu kama kaamua maisha yake yako dar mfano diamond,ally kiba,fidq,kina bele 9 na wengine wote wana origin zao,hawa nao ni wanadrsm au huui kua dar ndio tanzania?