NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
ha...kubwa mno bana...shati moja na suruali na note book pamoja na kamera begi utafikiri anaenda ng'ambo!itakua kabeba na nguo umo ndani
umesikika, hasa hapo kwenye red.Ni hivi, siku mkija mjini na babes wenu, ama wake zenu kuwafanyia shopping.
Hasa, ukitaka fanya shopping za Cosmetics, Rasta, Weaving, etc "Usiongozane na mkeo/ baby wako" kama unahela zako za matikiti za mawazo mawazo.
Utafiti, umegundua unapoongozana na mkeo wauza vipodoz na stuffs za kike huongeza bei maana wanajua hutochomoa. Ila ukimwacha baby/wife aende mwenyewe atanunua kwa low price.
Ni hayo tu, maana Wanaume wa Dar siku hizi wanajua bei za weaving, rasta, etc wamechoka kuibiwa....
ha hah ahahaHilo Nalo Neno,Kuna Siku Nilikuwa Nimeachiwa Kiduka Flan Niuze Akaja Mdada Huyo Kapanga Huku Kitaa,Kaja Na Jamaa Wanaitana Baybeee This Baby That,Ndo Demu Kuniona Dukani Akaja Akaanza Kumwambia Jamaa "Baby Unajua Sina Sukari Afu Maji Sinywagi Ya Bomba Tumbo Linaniumaga"Mie Nataja Bei Naongeza Mia 500 Kila Kitu,Jamaa Akijifanya Kujibu Mara Kapewa Kiss La Shavu Mara La Lips Mara La Shingo,Akawa Wala Haulizi Tena. Bas Jamaa Kuja Kuondoka Katoa Kama 38000 Hivi,Demu Akaniambia Usipime Sahivi Nakuja Akamsindikiza Aliporudi Akaniambia Dogo Maji Ninayo Sukari Ninayo Ila Kwakua Nawewe Ulikua Co-Starring Kwenye Movie Bas Chezea Hii 5000 Nipe Hiyo Ela.
Nikabaki Kusema Mjini Hapa.
Weee hebu katumalizie riwaya siyemm sithubutu kumpeleka demu wangu dukani kununua kitu chochote nawajua tabia zao hawa viumbe....bora nimpe hela aende mwenyewe...la sivyo kama budget yenu ilikuwa laki 3 mkiongozana wote itafika mpaka laki 7 hawana huruma kabisa hawa
Kasome vizuriNimepotosha nini?
Wanawake wa dar banaaaa hawana jipya ,kwan hivyo huku mikoani havipoNi hivi, siku mkija mjini na babes wenu, ama wake zenu kuwafanyia shopping.
Hasa, ukitaka fanya shopping za Cosmetics, Rasta, Weaving, etc "Usiongozane na mkeo/ baby wako" kama unahela zako za matikiti za mawazo mawazo.
Utafiti, umegundua unapoongozana na mkeo wauza vipodoz na stuffs za kike huongeza bei maana wanajua hutochomoa. Ila ukimwacha baby/wife aende mwenyewe atanunua kwa low price.
Ni hayo tu, maana Wanaume wa Dar siku hizi wanajua bei za weaving, rasta, etc wamechoka kuibiwa....
Ha haaa kwani mwanaume kunywa st. Anne dhambi jamani?Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kwanza jina lenyewe la kikeHa haaa kwani mwanaume kunywa st. Anne dhambi jamani?
Mtoa mada kavurugwa sio bure abadilishe title aisee aseme wanachama wa CCM wakigombania soda Mwanza na sio wanaume wa Mwanza. Maana wameli miss lumbesa la wali maharage.HAO NI WANAUME WA CCM SIO MWANZA
Panya road walikua kikundi cha watu na silaha za jadi,unakumbuka kule kwenu mlikimbizwa na kulala saa 12 na kijamaa kimoja?
Wewe ni nani are you a white man ama?sema sisi, wewe pia ni mmoja wapo,Waafrika unawapokonya dhahabu alafu unawatupia pipi wanakimbilia pipi wanakulamba miguu