Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
dar es salaamurojo, chips, kucha ndefu, uvivu, kuzungumza utajir huku wamepumzika tu hawataki kuchafuka, kuchagua kazi ,vyakula huku hana hata..., kupenda mijimama nakulalamika kila kitu can't stand and decide/do as a man, kupenda kukaa magorofani hata kama ni kwakujiegesha, wote wanapiga story za vyuo vikuu hata kama ni form 4 div 5, kutojua nini wanataka huku duniani, wote wana magar, nyumva, mademu wakali,wameokoka, ni waelewa .
hawa ni wa mkoa gani vile??