Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

mi mwanamke siko upande wowote hapa
Mpaka sasa walugaluga wanaongoza kwa point 510 huku wakishua wakiwa na point wakiwa na 350.....😀😀😀😀😀
safi sana wanaume wa shoka tunaongoza huku wenzetu wa darisalama wakijikongoja japokua mboga saba!!!!!!!!
 
mi mwanamke siko upande wowote hapa
Mpaka sasa walugaluga wanaongoza kwa point 510 huku wakishua wakiwa na point wakiwa na 350.....😀😀😀😀😀
mwaaa,
uko wapi mrembo nikutumie mafuta ya alzeti,maharawe,choroko na nyama poli...umalizie pasaka yako,nikutumie na asali mbichi ulainishe ngozi yako?
 
Hawa jamaa wana kumbukumbu fupi sana! Mademu zao wanatuzimikia alafu nao wanaume wa mkoani wanajia hili.
Ebu kama wa mikoani mmesahau, pitieni huu uzi, mliuweka wenyewe, nafikiri hii ndo sababu kuu kila kukicha tunawaumiza vichwa.

WANAUME WA DAR MNASABABISHA WANAWAKE ZETU WATUBWAGE.

Msiseme hatukuwaambia!
Na kina dada mnaokuja Dar toka mikoani, wanaume wa Dar tunasema ASANTENI KWA KUJA, THANX FOR COMING COMING COMING......,,,,
huu uzi aliuanzisha mwanaume wa Dar alafu anajifanya wa mkoani!
 
hahahahahahahah mkuu umenichekesha sana hahahah, niweke picha ya tiketi au sio, nipo kampala university hapa sasa picha ya nin? hahah
Ahaa umeletwa kusoma, endelea kusoma mwaka wangapi, nawe sasahivi utakua mwaname wa Dar. Yaani kama nakuona vile unavyogombea chips, hapo kwa huyo jamaa, ila kwa sasa andika kila unachokiona watumie.
 
Tumewakosea, tumewakosea sana! tena inabidi kuwaomba msamaha, wanalea watoto wetu majumbani mwao bila kujua mtusamehe tu maana hakuna namna tunanusuru ndoa zenu! .
 
Licha ya suruali ya kubana unakuta imechanila kwenye magoti, limeweka dawa kwenye nywele, pua imetobolewa, yaani ni shida hawa wanaume wa dar.
Umenikumbusha mkuu alafu co kwenye magoti n had kwenye mapaja mkuu cjui wantafutaga nini, Alafu nackia pia hawa wanaumeme Wa dar wanavaliana nguo na Dada zao
 
Mkuu kaka nia yako ilikuwa ni kuwadharirisha wanaume wa Dar au wa sehemu yyte ile kwa hayo maneno yako,tambua umefeli.

Aibu inakuridia ww mkuu. Japo JF tunatumia ID zisizozakweli,ila tambua mambo tunayoyafanya humu yanatuwakilisha sisi wenyewe.

Mwanaume anayejielewa asingeweza kureply hizi shutuma kama ulivyofanya wewe.

Kusutana ni kwa wanawake,hata majibizano ya aina hii ni kwa wanawake.

Mwanaume kaa kimya,acha waropokaji wajione wajinga.

Siku zinaenda mbele,ila baadhi akili inazidi kuzorota.
haa mkuu utakufa mapema, hapa watu wanafanya for fun tu, hata hao wa mkoa wanaojibizana na wa dar inawezekana wote wapo dar, au wapo mkoa, maana Dar imejaa watu wa mkoani, na mikoani kuna miji mikubwa tu na watu wanaishi maisha soft, na dar kuna wazawa wanafanya kazi kama makuli wajenzi, wavuvi etc. ambazo ni kazi za nguvu.
 
Inaelekea wanaume wa dar wamekufanya kitu mbaya sana
ndio,tena makubwa hata kuandika naogopa:dah,kuna sharo mmoja wa tegeta kibaoni,alikuja bush uku tulya kumtembelea sista ake ambae ni ticha hapa shule msingi tulya,sasa kwa kuwa ni agemate wangu,tukawa tunazama kwenye matembe ya mabinti wabichi usiku,na kwa kuwa alikuwa na kiswahili laini na ngozi mororo,mabinti wengi wa uku walimpapatikia!kwa kuwa alikuwa makamo yangu alinieleza yote:baadaya kuwagonga kama mabinti watano hivi ndani mwezi,zikaanza kuwa jamaa amalizi nusu saa,anakuwa kitumbo chali anaomba maji ya kunywa uku akihemea juu juu utafikiri roho inataka kumtoka!ila baada ya kama miezi ya kula mtama,badala ya mabinti kumfata wakawa wanatoka baru kumkimbia!sasa baada ya kukaa miezi minne akarudi town na akafanikiwa kumuiba mtoto wa binamu yangu,alipofika tegeta ndani wiki moja mziki wake ulikuwa poa tu kama bush,ila baada ya miezi mitatu karudia yale yale ya boa moja ndani dakika tano na akizidisha nusu saa,anafloat,kitumbo juu,pumzi inakata kidogo ya kuvuta!hapa nilipo dada ameomba nauli arudi bush!useless wanaume wa dar
nipo mabibo kidume..Mpatie mshana jr au Bitoz waniltee
umeupata,mshana jr,anaweza ata akaurusha kwenye usiku ukakufiki!wory not,my dear!
 
Mkuu Mshana jr,

Wanaume wa Dar lazima tuwe smart tuwe presentable mbele za watu...

Sisi ndio kioo cha Tanzania

Sasa hatuwezi kuwa na Sura ngumu kama Wanaume wa Bara...haiwezekani
Huyu nayee....
Eti wanaume wa dar ndo kioo cha tanzania!
Kama ndo ivo bhasi tanzania haina wanaumee kwa matendo wanayofanya
 
Hawa wanaume wa dar ndo zao, mara wema sepetu, mara mama tiffah, mara salama jabir. Ni kudoscuss wanawake tu!
Alafu pia ni madomo zege, ebu mccheko huyu eti nae ni mwanaume.

NATAFUTA MCHUMBA.

Wanadai wao wanajua kutokea wadada, kumbe kwenye keyboard.
ndio zao, haoa nawagongea mademu zao hadi wananichukia
 
Back
Top Bottom