Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Naona kila tukiwajadili wasanii wetu mnatutukana mara hatutaki kazi tumekalia umbea sijui, mara tunashinda vijiweni na kwenye ma pool table kumjadili Dai na Wema na Kiba na Zari na Chidi na Le Mutuz na mastaa wengine

Sasa mnachoshindwa kujua ni kuwa hawa wasanii ni public property, tunamaslahi nao kwasababu wanatuhusu tunasikiliza nyimbo zao tunaangalia muvi zao na tunaudhuria Party zao(refer ya Le Akili Kubwaz pale Kempinsky) tuna haki wa kuwa Diss-cuss.

Naomba mtuache na uanaume wetu wa Dar.

Wanaume wa Dar woyee!
Naskia mnashindia slesi ya mkate na fanta...mnashinda saluni kutinda nyusi...mnapiga mlege...
Alafu kuna lile kundi la watoto waharibifu naskia mlikua mnawakimbia mnawaachia wakina mama wapambane nao
 
INAWEZEKANA BAO LAKE MOJA LINACHUKUA SAA ZIMA..sawa huwez mfananisha na mtu mwenye bao za jogoo...ambaye anweza piga ata bao kumi
Kwa mwendo wa chips yai na fanta passion, kwa mwendo wa kushindia mwindi wa kuchemsha ...hiki ulichoandika ni uongo
 
niliendag kumslimia rafiki yngu alikua ametoka kusoma ukooo.sasa jiono tukaenda kuwacheck marafiki zake.aiseee nilichoka.yaan watoto wakiume wamelegea,wamevaa vipedo cjui vile,wamepaka lipshine wengine wamevaa hereni.yaa. nilishindwa aisee kukaa pale nikaona wananizingia .sasa nikjionea ngoj nijitaftie viwnja vya wgumu angalau kw wana.nikaenda night club pande za ubungo uko ndio balaa.mashoga kibao.nikaona upuuzi huu.asubuh nikageuza kwetu.dar cjui nani kawaloga!!
 
Naskia mnashindia slesi ya mkate na fanta...mnashinda saluni kutinda nyusi...mnapiga mlege...
Alafu kuna lile kundi la watoto waharibifu naskia mlikua mnawakimbia mnawaachia wakina mama wapambane nao
1459588096649.jpg

Wanaume wa Bara(Mwanza) wanagombania Soda za Magu za bure!
 
Dar siwezi kuja bana.......mnaongea mno maneno mengi na sound plus mizinga mingi......wacha nikae na wangu wa Yaeda........wako huko nje wanachinja mbuzi wa supu........
Sasa wengine mnasema sisi "sound plus mizinga" wakati wengine wanasema sisi tunajua sana "kuhonga" lakini game hatuna kitu.

Hata sielewi mnatusingizia lipi kati ya hayo...

Karibuni na nyie supu ya Pweza
 
kila leo jf utakuta topic wanaume wa Dar hawajui mapenzi, wanaume wa Dar wanashinda chips yai kuku kunako 6 kwa 6 ni kimoja hoi
pia imetokea kina dada wengi kulalamika wanaume wa Dar wanapenda kulelewa sana (Mario) yaani msingi kiuno hivi hizi mambo zina ukwel ndani yake

kwa kuwa wanaume wa Dar wanalamikiwa ebu tujue ni mkoa upi ndiyo una vidume vya nguvu kupafom vzur kitandai pia kulelea mwanamke kwa kuhonga.................
 
Kila mkoa una sifa yake.

Wanaume wa Moshi sifa yetu kutafuta hela, nyie wa Dar ndo hizo za umbea, majungu, fitna, husda na nyingine zinazofanana na hizo.
 
hahaha na wa mwanza wanakimbilia soda...huo ni utani tu kila mkoa kuna wanaume wapo kama wa dar na dar kuna wanaume wapo kama wa mikoani
 
Ni msimu tu umegeukia Dar ila hakuna ushahidi wowote uliowahi kutolewa hapa kuthibitisha udhaifu wa WANADASLAAM...Na kama kuna mwenye ushahidi aweke hapa tujadili siyo hizi hearsay..
 
Ni msimu tu umegeukia Dar ila hakuna ushahidi wowote uliowahi kutolewa hapa kuthibitisha udhaifu wa WANADASLAAM...Na kama kuna mwenye ushahidi aweke hapa tujadili siyo hizi hearsay..
manuu bhana
 
Tatizo wanaume wa dar huwezi kuwatofautisha na dada zao majungu kazi hamna kula kwenyewe chipsi kupaka powder na kujikoboa kama sembe kucha wanapaka hina sasa hao wanaume au ndo kama nay wa mitego alivyosema ni makaka poa ila msiniporomoshee matusi wanaume tuko mwanza
 
Back
Top Bottom