Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Naskia mnashindia slesi ya mkate na fanta...mnashinda saluni kutinda nyusi...mnapiga mlege...Naona kila tukiwajadili wasanii wetu mnatutukana mara hatutaki kazi tumekalia umbea sijui, mara tunashinda vijiweni na kwenye ma pool table kumjadili Dai na Wema na Kiba na Zari na Chidi na Le Mutuz na mastaa wengine
Sasa mnachoshindwa kujua ni kuwa hawa wasanii ni public property, tunamaslahi nao kwasababu wanatuhusu tunasikiliza nyimbo zao tunaangalia muvi zao na tunaudhuria Party zao(refer ya Le Akili Kubwaz pale Kempinsky) tuna haki wa kuwa Diss-cuss.
Naomba mtuache na uanaume wetu wa Dar.
Wanaume wa Dar woyee!
Alafu kuna lile kundi la watoto waharibifu naskia mlikua mnawakimbia mnawaachia wakina mama wapambane nao