Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Dah aiseee we jamaa huu uzi ungekuwa research ningekupa A maana ina ukweli kwa asilimia 99, mi niliishia stage za mwanzo na bahati nzuri nilizaa nae ila tuligawana kila kitu namshukuru Mungu nilichukua watoto wangu saivi najikongoja kuanza upya maisha
 
Siku hizi hapa JamiiForums ni kujadili ujinga ujinga tu. Ishu ya ubaguzi wa kikabila ni ya kujadiliwa kwenye forum kubwa kama hii?

Nashangaa JamiiForums wanaacha mada kama hizi zijadiliwe kichuki chuki na kufuta mada za maana
Tuletee bac hio mada ya maana bac😆 kama huna tuendelee changia za kipuuzi kama hii
 
Pole sana, kwa mapito magumu shukuru Mungu u mzima wa afya yatosha
 
Kwan hvyo vyakula na ye mwanamke si anakula?, kwa nn ye haugui?
Haujawahi kuona anapikiwa chakula halafu mpishi anakwambia mimi nimeshakula au nimeshiba?

Si ndio tabia yao. Au yeye anakupikia sotojo la ndizi utumbo na nyama mixer mafuta na beer halafu yeye anasonga ugali na matembele anakula mwenyewe anakwambia mimi najiskia kula ugali.

Kumbe technique ile. Wewe ule unenepeane kama kiboko ili akikupa stress zikuue haraka kwa pressure.
 
Kweli yaani. Afu unakuta mwanaume anajisifu nimepata mke mpambanaji,[emoji1787] hivi unajua uyo mwanamke anapambania nini. Hiv unajua kuwa anapambana na wewe akupiku afu unamsifu ulivo jinga[emoji1787]
Kuna majitu ni majinga sana mzee. Yaani ukikuta linavyojisifu eti mke mpambanaji sasa wewe unatarajia anakupambania wewe kabisa yaani wewe uneemeke kabla ya watoto na familia yake? [emoji848]

Hakunaga hiyo. Wewe pambana mwenyewe yeye akija iwe ziada yake na sio kwaajiri yako.
 
sasa kilichonisaidia ni kusikia mazungumzo yake na mama yake akimuuliza demu anarepoti kama mpelelezi aliye kwenye special Covert mission [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha
Acha tu mzee.
 
Humu Kila mwaka tunasemwa.Tupeni break jamani.Mambo yanabadilika wachaga wa Jana sio wa Leo.
Maneno matupu hayalipi deni, weka matendo palipowekwa maneno. Sisi ukituambia wanawake wa kichagga wa leo si wa mwaka jana tunaamini vipi ? [emoji848]
 
Siku hizi hapa JamiiForums ni kujadili ujinga ujinga tu. Ishu ya ubaguzi wa kikabila ni ya kujadiliwa kwenye forum kubwa kama hii?

Nashangaa JamiiForums wanaacha mada kama hizi zijadiliwe kichuki chuki na kufuta mada za maana
Hii ni Jamii forum na hili ni swala la kijamii sasa sijui wewe nini ambacho kinakutatiza.
 
Huko aliko maisha yake yakoje mkuu?
 
Basi wewe utakuwa fala mimi nilitia makofi mke na mama mkwe na nikawatimulia mbali huko wapuuzi wakubwa.
 
Mungu awabariki sana Zemanda na Financial kwa michango mizuri mnayotoa.

Yote mliyosema yana ukweli kwa 98% ila sasa kuna watu ambao wapo ktk penzi na wakiambiwa haya hawawezi kuelewa.

Wasichokijua ni kwamba, sisi tunayasema yote haya kuhusu hili kabila sababu tumeyaona mengi na wengine tumewahi kuwa nao ktk mahusiano.

Vijana wa kiume, wanaume wenzetu, ninawasihi saaana msijaribu kuingia ktk hilo kabila.
 
Kuhonga na honga na hatangulii mtu ... akizingua anakula makofi akalilie kwao machame
 
Hizi stori huwa zinajichanganya sana. Hapa wanaonekana kama wanakuwa na mapenzi sana (romantic) alafu bado wanaambiwa hawapo romantic. Sijui imekaaje hii.
 
Hii story ilitakiwa uitengenezee uzi kabisa
 

Pamoja sana🙏
 
We jamaa mpotoshaji hujui lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…