Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Na kuna baadhi ya wapare pia wapo hivyo............ukiingia kwa hawa wanawake unapotezwa mapema,,,,mchume mali mzae watoto then safari yako mwisho.....nimeshuhudia haya matukio kama ma 3 kwa watu wa karibu na stage mbaya zaidi ni ukianza kuona kwako ndugu wa mwanamke wanaanza kua wengi kuliko wako mwanaume hapo huna maisha marefu
 
Sio Royal ni Loyal. Kaoe mzaramo. Hawanaga mambo mengi. Wao hutaka tu ruhusa ya kwenda ngomani na sherehe zingine. Hawana shida kabisa na mali zako.
Niko na Shemeji yangu mzaramo hapa stendi akibinua binua neema alizojaliwa kwenye daladala, kwa mauno haya bila roho ngumu ni vigumu sana kuoa kiumbe hiki [emoji4][emoji2960]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Sasa ndugu Nshomile Nchaga na Nshomile wapi na wapi,Mshomile mafanikio anayaua kwa kupandisha mabega,Nchaga analinda mafanikio yanayoonekana,bado una nlaumu nchaga kwa hilo🤪.Basi Nshomile wewe utakuwa umevimbiwa senene🤣
 
Sasa hii ndio nini?
 
Kimaisha Watu sirias sana ktk mapenzi na majasiri ndiyo kwa asilimia kubwa wamejinyonga.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hiyo
Hiyo ipo kwa Waarusha sana sana, hasa wa Arumeru
 
Acha Ukuda Arifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…