Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Yaani hata akioa kwingine sio kwamba ukweli hautosemwa utasemwa tu, ni mpaka hapo hiyo tabia itakapo koma japo itachukua miaka mingi, na elewa kuwa kila kabila lina tabia zake na tabia hizo ukoma kutoka kizazi hadi kizazi.USICHUKIE NDUGU HUJASEMWA WEWE.
 
mwanaume ukiwa chokochoko pole kama zezeta lazima upandwe kichwani na kuswaga kama kondoo.
nina dada yangu mdogo wangu kiumri namtafutia mchumba kabila mmeru umri miaka 28 ni mpole mstaarabu hana mtoto
Mwambie tu aendelee kutafuta.
 
Ukweli mchungu.
 
Hiyo

Hiyo ipo kwa Waarusha sana sana, hasa wa Arumeru
sio kweli bwana wameru dada zetu hawana hizo wao ni ubishi tu ila ukiwa ngangari ukakata makofi anatulia. hayo yaliyoelezwa wanayo dada zako wanawafanyia wanaume mabwege.
 
Jiwe la Gizani , ukiskia Aaaaah! Jua limempata mhusika 🀣🀣
 
Huku hatari jamaa yangu kaletewa ndugu awasomeshe wamekosa mkopo πŸ˜€
huyo jamaa yako ni bwege au , anakipato kikubwa cha kusomesha?, si awatimue, kwani na yeye hana ndugu ktk ukoo wake wakusomesha, wanawake wabinafsi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…