Tabia njema wakati wa kula chakula

Si vizuri kuwasema watoto wakati wa kula au kuongea wakati wa kula.
 
Nilivyokua chalii nilikua naona kero kulazimishwa kUla uku nimefumba mdomo tena kwa kipigo.. SASA Utu uzima nimekutana na baadhi ya watu wana kila uku midomo iko wazi😬😬.. Duuh ni kero.. Tuwafunze watoto kula uku mdomo umefunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…