Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

Zamani kuna mzee mmoja alikua anapeleka Petro station ⛽ kisha anachangisha PESA za mafuta.kwenda n kurudi.mbona walikoma kupanda bure.Alikua n msemo wake kua jamani wote tunalipwa twendako. Rest in peace 🕊️ mzee w mjini.
 
Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Sasa wewe unajua nakaa Mbweni lakini je unajua mi hapa katikati na michongo gani Huwa naifanya na nisingependa watu wa kazini wafahamu
 
Nenda na baiskeli
 
Dkt remmy
 
Ndugu wanahusianaje na pesa zako?
 
Acha roho mbaya,aliyekypa wewe ndio aliyewanyima wao,kama unaenda njia tofautina wao we elejea unakoenda wenyewe watashuka tu njiani,acha ubinafusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…