Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship

Huenda ikawa hivyo ila mada ndio kama inavyosomeka
Kwenye mahusiano mara nyingi hamuwezi kua sawa hua Kuna ambae kapenda sana design ya mtoa mada .....sasa Moja akiwa miyeyusho kukawa hamna maelewano yule miyeyusho hachukui mda mrefu mapema tu unashangaa anaenjoy penzi jipya ila ww penda penda sana
 
Aje tumpe daktari wetu wa akili Depal aje amchambe mgonjwa mpaka afe ndio aanze kutoa mbinu za kuishinda hiyo hali πŸ˜‚
🀣🀣 Atamnyoosha vema

Sema nini mtoa mada ajitahidi kula vizuri akashiba, unajua sometime unaweza kuhisi ni mapenzi yanakutesa kumbe hushibi vizuri, njaaaa mbaya sana.
 
Kwenye mahusiano mara nyingi hamuwezi kua sawa hua Kuna ambae kapenda sana design ya mtoa mada .....sasa Moja akiwa miyeyusho kukawa hamna maelewano yule miyeyusho hachukui mda mrefu mapema tu unashangaa anaenjoy penzi jipya ila ww penda penda sana
Na kwanini upende sana? Lazima utakua na shida mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…