Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship

Nacheka kwa sababu nilishapita humo ila 3yrs hapana πŸ˜‚

Leo nikiwa natoka ibada night nimekutana na Ke mmoja nae alikuwa na mitabia hiyo hiyo nilishamsotea sana ila now naona kawaka.
safi sana umekuwa na moyo wa chuma☺️
 
Bora hata parachichi ntamnunulia! hv ushawahi kutana na mtu huelewi anataka nini? Hela unampa, usafiri unajitahidi hata kama huna gari ila anasafir vzr, kule 6Γ—5 unajitahidi lkn waaaaapi
Ukiona hivyo kuna mawili... it's either huyo mtu ni kipepe hajatulia au hajakupenda so anashindwa kujiachia kwako ndio maana unakua humuelewi.

Mtu wa hivyo unapiga chini fasta maana anakufanyia boya.
 
Ukiona hivyo kuna mawili... it's either huyo mtu ni kipepe hajatulia au hajakupenda so anashindwa kujiachia kwako ndio maana unakua humuelewi.

Mtu wa hivyo unapiga chini fasta maana anakufanyia boya.
Kumbe ee
 
Ukiona hivyo kuna mawili... it's either huyo mtu ni kipepe hajatulia au hajakupenda so anashindwa kujiachia kwako ndio maana unakua humuelewi.

Mtu wa hivyo unapiga chini fasta maana anakufanyia boya.
Ukiwa matured unaweza piga chini ila kama ndo upo ile age ya early 20's unateketea kimya kimya
 
Mimi naamini njia bora na nzuri kwenye mahusiano ni Communications,ukielewa namna bora ya kuzungumza na mwenzako itasolve vingi sana
Sometimes kupiga kimya ndo solution bora na inasolve vingi especially ukiwa na mahusiano na miungu watu aka mrs/mr sikoseagi
 
Wanawake mnapenda kugongwa sana!
 
Ukiachwa achika

Miaka 3 unapigwa miti tu mtu hakuoi hata sogeza tuishi hamna hukushtuka

Uchumba sugu au?
 
Kwa nini ulazimishe penzi aiseee vjana wa sasa bana hawana maamuzi kabsaa...!!
 
Hatuna sababu, inatokea tu. Wala sio kuwa tunachepuka au tunampenzi mwengine, ni inatokea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…