KERO Responded Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

KERO Responded Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana.

Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza hizi ICD nje ya mji, mfano kwa sasa kuna waarabu wanajenga ICD katikati ya makazi ya watu hapa Mwanagati.

Pia soma ~ TANROADS: Tunafanya oparesheni ya kuondoa malori yanayosababisha msongamano Mbagala
 
Hapo TAA NYEKUNDU ..MCHICHA naona ndio.mtaa unaondoka.kabisa hata temeke sekondari na vetenari na sandali primary school.zitanunuliwa mda s mrefu maana wizara ya uvuv zamani inayopakana na shule hizo sasa imekuwa ICD
 
Hizo barabara za mtaa nimezielewa,hakuna hata madimbwi wakati ni masika!
 
Back
Top Bottom