mimi huwa najibu "sina cha kukupanga"Moja kwa moja..
Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo huwa mwisho wa kuchat isipokuwa kwa wachache ambao ninawajua kuwa bado Wana utoto.
Leo hii mshikaji wangu nimemchana live uvumilivu umenishinda kaja na namba ngeni yeye ndiye kanitafuta halafu anasema nimpange hiyo inakuja kweli ?View attachment 2369912
#UziTayari
Xamtaim kipadi zinakuwa ngumu neno s hulipatiAisee mimi na wewe tupo sawa katika hili. Huwa sipendi tena na huwa sijibugi kitu baada ya kuanzisha mazungumzo kwa maneno hayo.
Pia wanaotumia X baada ya S, utakuta anasema xaxa au xx baada ya sasa.
Leo ndio imenitokea hivyo afadhali ningekuwa nimemtafuta mimi inge make sense kusema nipange au niambie .Anakera yule ambaye umekaa zako kimya,anakutafuta yeye alafu anakwambia "niambie"...
sasa ningekuwa na cha kukwambia si ningekutafuta mimi.