Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Naomba namba yako.Yaaan mii ukijikoroga ukaniita katika meseji uwa nina majibu ma3 tu..
1. Abee
2. Sema
3. Nipange / niambie
Hiyo Abee siku hizi nimeipunguza kwa baadhi ya watu kuanzia pale kuna mtu ananiita, naitika abee.. anakuja niambie nikiitika hivyo anafeel kuwa loved na mm. Lol
Depal…. Sema/ nipange
🤣🤣 ukiona sipangiki ukichukia piga simu ‘kwenye simu at least uwa naongea vizuri.