Tabia ya kumtext mtu au kuanza mazungumzo kurupu anasema nipange au niambie huwa inakera sana

Mambo yamebadilika, Uandishi umebadilika, kizazi kimebadilika...

Inategemeana anayekwambia hivyo yupo kwenye rika gani?

Kama ni dogo unamrekebisha

Kama ni mtu mzima unampuuza tu hakuna kumjibu.

Tusifanye maisha kuwa magumu.
 
Mtu anaitwa mapembe unategemea jibu gani
Nimefupisha jamaa alikuwa anajiita Mapembe ya Mbwa nikamwambia haifai kujikita jina baya wewe Muislamu unaswali ndio kaamua kubadilisha kujiita "Mapembe Mbwa" nimeona jamaa bora nimuache tu.
 
Me niliulizwa hivyo najibu mwenyewe yupo nimlipe ya miezi sita? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamke akiwa hivyo kwa sisi madomo zege anakata mood ya kuanzisha stori kabisa kabisa na tunabaki njia ya panda.
 
Naona mr mapembe analeta maskhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…