Naomba namba yako.Yaaan mii ukijikoroga ukaniita katika meseji uwa nina majibu ma3 tu..
1. Abee
2. Sema
3. Nipange / niambie
Hiyo Abee siku hizi nimeipunguza kwa baadhi ya watu kuanzia pale kuna mtu ananiita, naitika abee.. anakuja niambie nikiitika hivyo anafeel kuwa loved na mm. Lol
Depal…. Sema/ nipange
🤣🤣 ukiona sipangiki ukichukia piga simu ‘kwenye simu at least uwa naongea vizuri.
Hivi usingizi hua unatoshaje kwa kichwa ya kuku mkuu?Ila sometimes kama tunacomplicate maisha flani hivi nikirudi skuli kulikua na zile barua za maneno kumi unasummarize kwa kifupi sana hakuna kuweka hata vituo ni sama na Sms tu Short Message mtu akiandika kwa kifupi ni sawa la msingi aandike herufi sahihi sio xaxa badala ya Sasa wakati mwingine tusichukulie maisha kwa ugumu sana
Sasa text yako inaendana sawa ma jibu wewe ndio una matatizo mkuuMoja kwa moja..
Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo huwa mwisho wa kuchat isipokuwa kwa wachache ambao ninawajua kuwa bado Wana utoto.
Leo hii mshikaji wangu nimemchana live uvumilivu umenishinda kaja na namba ngeni yeye ndiye kanitafuta halafu anasema nimpange hiyo inakuja kweli ?View attachment 2369912
#UziTayari
Sina hataNaomba namba yako.
Hee haya.Sina hata
Mambo hayo haswa wanawake, unaweza kuandika text ndefu umetumia energy kubwa yeye anajibu oooh ,eeh au mmmh hapo inakata vibe ya kuchart ushikiano unakosekana ..Kuna watu ukichart nao unaboeka Sana.Unakuta mtu majibu yake Ni eeh,mmh,hapana,ooohmmh,pooh
Lengo la lugha ni kuwasiliana kama mtu anaandika xx badala ya sasa na umeelewa sioni shida japo Kwa kiasi fulani inakera. Mfano ofisini huwa tunatumia vifupisho Kwa mawasiliano rasmi kikubwa kuwe na kuelewana.