T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hapo unakuwa umebeti mkeka wako siyo AidannaIssue ni kwamba unakuta tumeomba kwa watu zaidi ya mmoja na MPESA inasoma jina la wakala au siyo lako, inabidi usubiri nani huyu katuma.
Ile sms umepata, ndy unasema asante love nimepata. La sivyo unaweza kutoa asante kwa mtu mwingine. Mpango ukaharibika
Chilling.......................
Unachukizwaje,wakati uliomba pesa Kwa masikitiko.Yaani mtu ameacha Kula vizuri,kununua nguo nzuri,kununua cement then amekutumia 50k halafu unasema amekuchosha.Mimi kama aurespond usirudie tena kunipiga mizinga,ukatafute huko wanakotoa kienyeji enyeji.Halafu watu WA namna hii hata madeni ni wagumu kulipa.Sijakataa , ama sio kama sioni umuhimu wa kushukuru hapana sina maana hiyo.
Lakini unavyopiga inakua kama unafosi niseme ahsante ndio kitu nachukizwa nacho
[emoji1][emoji1]kwema lakini mkuuSiyo mkeka tena ni carpet ndg, maana mkeka mdogo kwa size.
Kwema za wewe
Hao wapuuzi hawatofautiani na wale wanaotumiwa vocha.Kuna mbwea mmoja jana kaniomba ela nimemtumia kias alichokua anahitaji mpk sasa yuko kimya namsubri tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu , point yangu sio kwamba sitampa mrejesho ila sipendi kuulizwa sababu ,Nahisi mtu anasababisha nijihisi sina shukran kitu ambacho hakipo hivyo
Vizuri kusubiri mimi nikupigie
Sasa kama buku tano sio hela uliomba ya nini? Mbona wewe hukuwa nayo?Sasa utume buku tano usubirie ushukuriwe? Wewe angalia meseji ikionesha imefika tulia tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakumbuka kipindi nakuwa kama kuna neno ambalo nilikaririshwa mara nyingi ni kusema asante napopewa kitu chochote tu.Tatizo linaanzia utotoni, kuja kumrekebisha ukubwani ni tabu!!
Wengi sana wana tabia hiyo, unatuma hela wala hasemi chochote, mpaka umuulize!
Haha haya mambo haya hata hayahitaji hasira, yani unamtumia beibe vocha afu anakua busy na boya mwingine kwa vocha hiyo hiyo anashindwa hata kukuacknowledge mtumajiHizo tabia asilimia kubwa wanazo dada zetu na inakera mnoo
Unakuta anakuomba vocha ukimrushia hana habari tena na wewe ukimpigia umulize kama imefika no iko busy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika jamani! Haya yanaanza utotoni kabisaa, wazazi na walezi ndo tunajukumu kubwa la kuhakikisha watoto wanakuwa wanashukuru kwa kile wanachopata bila kujali ukubwa wake!Nakumbuka kipindi nakuwa kama kuna neno ambalo nilikaririshwa mara nyingi ni kusema asante napopewa kitu chochote tu.
Mtu akikupa kitu sema Asante hata kiwe kidogo kiasi gani. Ni jambo la hekima sana kusema asante. Mtu ambaye hajafunzwa katika misingi ya hekima ndio ambaye atachukulia poa poa tu.
Kuna dogo mmoja alikuwa na hii tabia..Issue ni kwamba unakuta tumeomba kwa watu zaidi ya mmoja na MPESA inasoma jina la wakala au siyo lako, inabidi usubiri nani huyu katuma.
Ile sms umepata, ndy unasema asante love nimepata. La sivyo unaweza kutoa asante kwa mtu mwingine. Mpango ukaharibika
Chilling.......................
Karibu tupike daku
Yani huku tunaugua ugua ovyo kweli, tunaumwa ugonjwa wa njaaKuna dogo mmoja alikuwa na hii tabia..
Ameomba hela sehemu tano,ikaingia miamala miwili..hajui yupi ni yupi.
Njaa hizi dah
Sent using Jamii Forums mobile app