Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana.
Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo"..
Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha.. utakuwa unafanya kazi ya kuwatumia watu hela tu?
Na hii tabia naiona inakuja kwa kasi sana, Mwanzo nilifikiri ni wanawake tu ndio wenye hii tabia ila kwa sasa mpaka wanaume nao wanaomba hela kama dada zao na mbaya zaidi unamwomba mwanaume mwenzio bila kuzuga zuga.. yaan unaomba ile direct kabisa as if ni haki yako kupewa hiyo hela.
Ndio maana watu wanaamua wakae kimya, maana ukimsalimia mtu tu ni kosa hapo hapo unakula kirungu cha hela ya kula etc..
Na ole wako umuahidi ntakuchekia au ntakutumia.. inageuka kuwa deni, zitapigwa simu mpaka uchanganyikiwe.