Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

kumbe ucheshi uko wa namna nyingi nyingi eeeh, huu ndo nausikia sasa hivi

yaani mtu yuko mbali na wewe unamwandikia msg ya uchokozi anakasirika na wewe unafurahia ni ucheshi kweli? labda huu ni wa pHD

hahahahahha
Haha..
Sema mamtumishi nawe una mawivu, hebu tuache huko.!!
 
Sahihi kabisa mkuu. Huyo mkimya anaweza kukukaba na mto usikuπŸ˜‚πŸ˜‚ Maana sumu anazivundika kila siku daah!.
 
Hahaa...
Nimekupenda bure Pazz.! Kwanza umeoa..??
 
Hahahahahah sasa huyo binti mtoa mada yeye anakuwa na gubu tu! Ila ukipata moto yeye ndio anapata relief
 
We naye hueleweki..
Haya unatutaka sisi ama unawataka wao.!?
Hahahhah! Mkuu umechukulia serious komenti yangu ile?.

Mimi nawataka nyinyi maana nimeshapitia hali kama hii na ikabidi na mimi nianze mahaba ukorofi, Kikubwa ni kumuelewa mtu na kukubali.
 
Nikiandika comment yangu utahisi nakutania...

Acha niwe msomaji tu.... ulichoandika mleta uzi ndio maana halisi ya GUBU
 
Umerithi kwa mzazi au wazazi...but it's too risky unapokuwa na mahusiano na mtu asiyependa ugomvi
 
Sasa unaingia mkoa wa Mara, be strong
 
Hahahahahah sasa huyo binti mtoa mada yeye anakuwa na gubu tu! Ila ukipata moto yeye ndio anapata relief
Hahaha... Wanawake ni complex individuals mkuu. Kuna mwanangu mmoja yeye alikuwa ananuniwa na demu wake bila sababu, na demu alikuwa mpole sana, mpaka mchizi akaona anishirikishe maana tulikuwa marafiki tulioshibana. Mimi nikamshauri kama anampenda awe anampuuzia tu, akijiona mjinga atamtafuta.
Ikafika time hadi manzi ananitafuta nimuombee msamaha, sasa si bora huyu mtu wa utani kuliko kuwa na mwanamke anakuadhibu bila kosa halafu mnaishi wote.
 
Ukiingia ndani kavuta mdomo anakukata jicho hatari Hapa nimekumbuka kitabu cha marehemu Hammie Rajabu GUBU LA MUME. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio wewe tu ni wanawake asilimia zote hipenda kutest confidence ya mwanaume wake mara kwa mara,
napia huwa mnapenda kujuwa nani ana nguvu zaidi kwenye mahusiano yenu... yani mkiqchana sasas hivi nani ata poteza zaidi...
 
Ukiingia ndani kavuta mdomo anakukata jicho hatari Hapa nimekumbuka kitabu cha marehemu Hammie Rajabu GUBU LA MKE. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kiukweli mkuu, yataka moyo sana kuna wanawake kwa muonekano wataratibu lakini kwenye anga zao ni balaa tupu. Fikiria umetoka kwenye mihangaiko umechoka unategemea faraja kutoka kwa mwanamke, halafu unakuta amenuna bila sababu kila ukimdadisi hupati jibu unabaki unateseka tu ndani kwa ndani. Aisee hivi Mimi siwezi kabisa, bora uwe single tu, na ndiyo maana napenda wanawake wacheshi wasio na kinyongo.
 
Sahihi kabisa mkuu.
 
Bangi za arusha ndio zilivyo ahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…