Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

watu/wakaka hamjui tu!! mke akitafuta ugomvi weee!! m-surprise tu!!.....kamata kichwa chake kisogeze karibu na matako yako!! ghafla mjambie mdomoni!!! km una lile la kunuka hiyo itakuwa safi sana......kula mayai mchemsho kwanza kabla.........huyo hata ku- sahau milele na maisha yake yoote!! nja hakuachi ng'oo!! ...akikumbuka ni hasira na kicheko!!

atakuwa anajiuliza hivi!!.... hivi huyu mwanaume wangu aliwaza nini??? ana akili kweli???...... hata km ni uchawi siyo ivo!!!... hivi mzima kweli huyu?? mbona ya leo kali? wkt akiwaza hayo weee!! huna habari......

ndo kwanza unameza matonge makubwa ya ugali aliopika mwenyewe! uone km atanyanyua mdomo wake tena..nipigie simu kwa number....
 
this came to me as a surprise walaqhi'..! Nimeskia kubarikiwa sana..!! Barikiwa pia hakika,
Amen, mimi naona watu wengi hawajakuelewa tu. Lakini wanawake wacheshi wanachangamsha mahusiano sana, na wanafanya mahusiano yanoge zaidi, tatizo lipo kwa watu wanaochukulia kila kitu serious, hata kama utachukia na utani wake lakini baadaye ukimfikiria unajikuta unacheka tu. Tofauti na yale mahusiano ambayo mwanamke mkimya tu hata akichukia hujui. Wanawake aina yako wanaenda kupotea kabisa inatakiwa mlindwe sana.
 
Hapo ni matatizo ya Afya ya akili na nyege mshindo.

Inabidi huyo mtu wako akuelewe hali yako hapo mtaishi vizuri.
 
Amen, mimi naona watu wengi hawajakuelewa tu. Lakini wanawake wacheshi wanachangamsha mahusiano sana, na wanafanya mahusiano yanoge zaidi, tatizo lipo kwa watu wanaochukulia kila kitu serious, hata kama utachukia na utani wake lakini baadaye ukimfikiria unajikuta unacheka tu. Tofauti na yale mahusiano ambayo mwanamke mkimya tu hata akichukia hujui. Wanawake aina yako wanaenda kupotea kabisa inatakiwa mlindwe sana.
kumbe ucheshi uko wa namna nyingi nyingi eeeh, huu ndo nausikia sasa hivi

yaani mtu yuko mbali na wewe unamwandikia msg ya uchokozi anakasirika na wewe unafurahia ni ucheshi kweli? labda huu ni wa pHD

hahahahahha
 
Mkuu, kuna wale wanawake wacheshi wanapenda tu utani wa kukukera, mpaka sometimes unakasirika, nimetoa mfano anaweza kuwa anaenda kanisani jumapili, akakufunua shuka akalitupa pembeni halafu akakimbia hapo lazima utakasirika sana. Lakini baadaye akirudi hasira zimeshaisha mnaanza kucheka tu, na kupiga mtanange. Au anaweza kukutania mpaka ukakasirika, lakini baadaye unajikuta unacheka tu.
Cha msingi ni kutokuchukulia vitu serious sana, kama wewe ukamzibua mtoto wa watu... Hahaha.
Pia inawezekana unachanganya na wale wanawake wenye gubu... hao ni big no kwangu.
Mkuu mpaka apate mtu wa kumuelewa ndiyo huo ucheshi na utani uliopitiliza atavumilia.

Sio kila mtu anapenda utani wa kukera.
 
kumbe ucheshi uko wa namna nyingi nyingi eeeh, huu ndo nausikia sasa hivi

yaani mtu yuko mbali na wewe unamwandikia msg ya uchokozi anakasirika na wewe unafurahia ni ucheshi kweli? labda huu ni wa pHD

hahahahahha
Mkuu amini kwamba, watu tunatofautiana mno. Kila mtu ameumbwa tofauti kabisa, watu wa hivi wapo, unaweza ukamwona wa ajabu lakini ni kawaida. Tatizo wanaume wengi tunawaza hela sana, mwisho wa siku tunachukulia kila kitu serious.

Na raha ya mtu wa hivi ukishamjua tabia zake na wewe unakuwa unamkera kwa matani kwa wakati wako. Na wanakuwaga very loyal. Hahaha..
 
Ukimpata mnayeendana huwa inakuwa poa sana lakini mkikutana tofauti inakua sio poa.
 
Siyo kwamba wanakuwa hivyo kila siku mkuu. Kila jambo na wakati wake, kuna muda mtaongelea maisha, utafutaji na vitu vingine, na anakuwa serious kabisa.
Naelewa mkuu shida ni kupata mtu wa kuelewa hali hiyo na akai accept mambo yatakuwa vyema.

Nimewahi pitia mpaka ilibidi nami niwe namtania.
 
Naelewa mkuu shida ni kupata mtu wa kuelewa hali hiyo na akai accept mambo yatakuwa vyema.

Nimewahi pitia mpaka ilibidi nami niwe namtania
Hahaha...
Ndiyo maana kabla ya mahusiano ni vizuri ukajua tabia ya mtu, kwa sababu mwisho wa siku ni mtu ambaye utakuwa unaspend nayemuda mwingi. Kwa maana kwamba kama kuna vitu hutependezwa navyo utajua uchukue uamuzi gani.
 
Tena sana, Kila kitu kinakuwa poa. Kikubwa kukubaliana na hali na kuyasogeza maisha kwa namna yenu.
Word,
Na kila mtu hajakamilika kwa hiyo unaweza kutana na mwanamke mkimya mtaratibu lakini, hata ukimuudhi hujui, au hawi muwazi na kuweka vitu moyoni.
Lakini unaweza kukutana na mtu muwazi sana, hata akiwa tofauti na uchangamfu wa kawaida unajua kabisa kuna kitu hakipo sawa kwa huyu mwanamke.
 
Back
Top Bottom