Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Inategemea na ugomvi unakuwaje, aidha ni Mimi nijishushe ama tuutafutie tu solusheni uishe..!
Na siyo mtu yoyote hapana, only my man..!!
Lakini kama umedhamiria ugomvi uwepo na unaufurahia huo ugomvi it's only fair wewe ukijishusha....isiwepo aidha ya kutafuta solution,ni wewe unatakiwa kujishusha
 
Ngoja tuangalie kwa perspective tofauti na watu waliotangulia.

Huwa inasemwa kuwa mtu akikasirika anatoa nguvu hasi na mtu ukiwa kwenye utulivu au amani ya moyo unakuwa unatoa nguvu chanya. Nguvu chanya ni kwa ajili ya ulimwengu wa mwanga na nguvu hasi ni kwa ulimwengu wa giza. Kwa viumbe wa giza moja ya chakula chao kikubwa ni hizo nguvu hasi ambazo bin-adam anazitoa kama matokeo ya kupitia adha au mateso ya kidunia, na ndio maana hawa viumbe wa giza hawaachi kusababisha kila aina matatizo ilimradi tu bin-adam asikae kwa utulivu kwenye dunia, maana akikaa kwa utulivu wao watakosa chao.

So jichunguze vizuri huenda kuna kiumbe kinakutumia kufanya hayo yote bila wewe kujijua. Auuuu, inawezekana wewe sio wewe kama unavyojihisi wewe ni wewe...

Ila usiogope, inawezekana ni tabia ya kawaida au labda ni 'genye' kama walivyo sema waliotangulia.
 
Hata hivyo mlishasema yenu matako akili mtatumia zakwetu!..
By the way itafaa zaidi ukutane na mtu ambae furaha yake ni kuona nundu ama damu nafikiri yatakuwa mapenzi ya heri kwenu..😁
Ninyi ndiyo mlisema akili tutatumia zenu jamani, mbona mnatugeuka..!?
 
Back
Top Bottom