Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
- Thread starter
- #381
Ahsante kwa ushauri, ila trust me I'll be the last woman standing katika suala la kupigwa..!! Katika vitu siwezi fanywa ni kupigwa mdogo wangu..!Utakuja kufia mikononi mwa Watu, hiyo tabia uiache. You're attention seeker, na hujui jinsi ya kupata attention ya mpenzio ndio maana Wafanya hivyo.
Ndio maana hua nasema kila mwanamke ana utoto ndani yake, mwanaume anayefaidi mwanamke fulani ni yule anaye-Entertain huo utoto wa mwanamke. Ila huo wako na wa hovyo utapigwa uchakae, Badirika kabla hayajakukuta mambo.