Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Dharau kubwa sana..
Siku nyingine nliishia kuitiwa toyo na kupandishwa kwa nguvu saa 7 ya usiku nirudi kwangu😂😂😂 ila nlishukuru maana ilikua napigwa iyo siku yani sio kwa uchokozi ule ..

Yani imagine umeanzisha jambo afu mtu kakujibu ivo.. nkaona weeh usnitanie kabisa.. iyo ni saa 4 usiku.. nkatafuta toyo nkamfata kwake alooh😂😂😂😂😂
Hahaa,
Hapo natamani kukuona na vimashavu vyako unavyokimbizana kupanda pikipiki kwa uoga..!
Nimechekaaaa...!
 
That's it!
Wanawake ni kama watoto wanapenda kufanya mambo ili kukupima uanaume wako.
Ndio maana inashauriwa kumchapa japo mara 3 kwa mwaka, mtu kama huyu mtoa mada akiendelea kukufanyia hivi halafu unaishia tu kupanik mwisho anaanza kukuona kama Shosti wake, atakufanyia vitimbwi hadi upagawe.

Kama kuna reasons zinazokusukuma kumchapa Mwanamke mchape kweli na sio kumgusagusa... Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe🚶🚶🚶
binafsi huwa hata sifikiagi hatua ya ku panic, nikiona unaanza kuleta kunikosoa au kunituhum bila sababu za msingi fasta i agree with you and ghafla u will keep seeing me occassionally sana.Yan huwezi kunijaza hata kwa mbali. na conversation yetu itakua very disconnected.
 
Hahaa,
Hapo natamani kukuona na vimashavu vyako unavyokimbizana kupanda pikipiki kwa uoga..!
Nimechekaaaa...!
Yaani dada kama umeniona vile.. nlikua mdogo kama nmemwagiwa maji baridi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahaha... Wanawake ni complex individuals mkuu. Kuna mwanangu mmoja yeye alikuwa ananuniwa na demu wake bila sababu, na demu alikuwa mpole sana, mpaka mchizi akaona anishirikishe maana tulikuwa marafiki tulioshibana. Mimi nikamshauri kama anampenda awe anampuuzia tu, akijiona mjinga atamtafuta.
Ikafika time hadi manzi ananitafuta nimuombee msamaha, sasa si bora huyu mtu wa utani kuliko kuwa na mwanamke anakuadhibu bila kosa halafu mnaishi wote.
kiukwel mimi now days niko hivi, yani kupigizana kelele siku hiz siwezi kabisaa,,mambo yangu ni meengi mno yanatosha kunifanya niwe na kila sababu ya kuepuka mazogo zogo.
 
binafsi huwa hata sifikiagi hatua ya ku panic, nikiona unaanza kuleta kunikosoa au kunituhum bila sababu za msingi fasta i agree with you and ghafla u will keep seeing me occassionally sana.Yan huwezi kunijaza hata kwa mbali. na conversation yetu itakua very disconnected.
Hujashikwa ukashikika we maandazi, eti nakuwa 'disconnected' with who.???
 
Back
Top Bottom