Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Hakika,
Mpe tu muda..!!
Yaaan jana tuu tumejadili hapa usiku limenikuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]amenipigia usiku kama saa 5 iv eti hajapata usingizi kabisa,namuuliza nn shida eti anawaswas ntamuacha,hadi analia eti nikampigia video call namuona analia,nmemuambia mchana ajitajd tuonane ntaweletea mrejesho n nyege au n kweli anahisi ntamuacha

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Guys,

Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.

Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.

Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.

Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.

Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.

Hivi hili litakuwa tatizo gani?
Utakuja kuachwa muacho mmoja... Matata hutaamini
 
inaonesha unapenda masihara, mapuuza na utani utani sana ee
 
Hawaeleweki hawa viumbe
Kuna mmoja yeye starehe yale ni kupigwa makofi.
Zikipita siku3 bila kuzabuliwa makofi atatafuta chokochoko yoyote mradi atiwe makofi, hata kitandani anakwambia kabisa kitombo kwake hakinogi bila ya kumpelekea na makofi.
Ona sasa,Watu wengi wanaumwa magonjwa ya akili,basi tuu huku bongo hawachukulii uzito sana ka wenzetu huko nje...
 
One of my exes alikuwa na tabia kama hizo, sometimes umelala anakuchokoza halafu anakimbia nje, au anakukera tu bila ya kuwa na sababu maalumu. Its kinda sexy, mwanamke anayependa utani na masihara anakera lakini anavutia kwa njia ya kipekee.
Umenikumbusha mbali sana. Hahah...

Bwan Sheikh nadhani hiyo yenu ilikuwa kimahaba kama kidali poo, tofauti na ya huyu imekaa kimapigano sana [emoji1][emoji1].
 
Back
Top Bottom