Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

muwe mnamaliza hamu za wenzi wenu,,,uzuri mimi wa kwangu anamaliza so sina sababu ya kumkasirisha,,,mimi nikiona amekasirika na mimi naumia

ila kiufupi kuna wale watu deep down wana roho mbaya bila kujijua,,,wakiona unafeli au unateseka ndio furaha yao,,mtoa mada labda yuko kundi hilo,,,aombe Mungu amsaidie kuondokana na hiyo tabia

ni mawazo yangu tu
Kumbe shida ni hamu Jirani
 
Ukiwa busy na kazi zako wala hutakua na muda wa kuwaza kuanzisha ugomvi. #BeBusy
Sawa mpendwa..
Lakini there's no way out unaweza kuwa busy kiasi kwamba usipate nafasi ya kuwasiliana na mpenzio.!
 
Unajikuta Drama queen, kutana na niggas wanaoControl frame wakufunze tabia. They will punish your Bullshit.
Siwezi kutana nao IJN, shindwaa saitaani..!!
 
Nimesoma mada moja juzi humu jf nimejifunza kitu hiyo hali si ya kawaida nafsi yako imechukuliwa hivyo bac unakuwa unafanya vitu visivyo vya busara .omba sana mungu hiyo nafsi ikuondoke
Sawa mkuu, Nitaomba
Ahsante sana..!!
 
Yaaan jana tuu tumejadili hapa usiku limenikuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]amenipigia usiku kama saa 5 iv eti hajapata usingizi kabisa,namuuliza nn shida eti anawaswas ntamuacha,hadi analia eti nikampigia video call namuona analia,nmemuambia mchana ajitajd tuonane ntaweletea mrejesho n nyege au n kweli anahisi ntamuacha

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hivi ulileta mrejesho kweli.?!
 
Kuna ndugu yangu anatabia Kama yako.Mkiwa kwenye mikusanyiko ya kifamilia,mkanywa mkaanza kufurahi lazima aanzishe chokochoko na agombane na mtu ndo afurahi. Nimechoka na tabia yake na nilichoamua nitakua nakaa naye mbali.Tukutane kwenye misiba na sherehe na nitakuwa busy na issue zangu.Nyumbani kwake nitaenda Kama kunashughuli ya kutukutanisha wanafamilia na nitaenda muda ambao shughuli inaanza na ikiisha tu naondoka.Tabia nyingine zinakera!.
Poleni sana,
Kuna muda lazima tukubaliane kutokukubaliana, watu wote hatuko sawa jamani..!!
 
Omba mungu upate mwanaume wa kuweza kukuzibua kisawa sawa, atakusaidia kuacha hiyo tabia.

Nitakuzibua(In Mwaisa mtu mbad voice)
Haha..
Na napataga vijana romantique kweli..!
Unaambiwa nitakuzibua anaishia kuku kiss..!!

Jaby'z pita huku Mwaisa..!
 
Mwanamke hapigwi kwa kumzibua, Anapigwa na kipigo ambacho kitamfanya ashindwe kutembea kesho yake.
 
Ukifanya hio prank yako ndo safi......
Nami unashangaa mara sms za michepuko nafowadi ....mara umepanda cheo imekuwa mke mkubwa mambo safi
 
Guys,

Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.

Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.

Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.

Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.

Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.

Hivi hili litakuwa tatizo gani?
Narcisstic personality disorder need constant attention and her his ego need to fed .Some people are sadist they enjoy to see people in pain ,some are serial killer ,some are histrionic sociopath ,
 
Guys,

Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.

Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.

Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.

Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.

Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.

Hivi hili litakuwa tatizo gani?
You may have ADHD or ADD
 
You need to go to a dr you have ADHD
 
8120BBA8-8507-4E07-8D9D-8280BCDFE6AA.jpeg
 
we utakuwa mfupi,madem wafupi ndo tabia zao hizi
 
Back
Top Bottom