Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin lazima utakuwa mwembamba sana.Mie mrefu tu ndugu yangu..
[emoji23][emoji23]That's it!
Wanawake ni kama watoto wanapenda kufanya mambo ili kukupima uanaume wako.
Ndio maana inashauriwa kumchapa japo mara 3 kwa mwaka, mtu kama huyu mtoa mada akiendelea kukufanyia hivi halafu unaishia tu kupanik mwisho anaanza kukuona kama Shosti wake, atakufanyia vitimbwi hadi upagawe.
Kama kuna reasons zinazokusukuma kumchapa Mwanamke mchape kweli na sio kumgusagusa... Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe[emoji124][emoji124][emoji124]
Dah! Nakuacha asee, nina mpenzi wangu mpya na yeye naona ananiletea hizo, yaan mgomvi bila sababu, yaan yeye kazi yake kugombaaa tu dah! Nampenda lakini sijui kama kesho itapita sijamuacha nawaza tu ntakavyojisahaulisha mapenz yake
Guys,
Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.
Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.
Right but not correct..Kuna watu huwezi kutupiga by nature, tumeumbwa tu kupendwa.!
🤣🤣 Muache aendelee hivyo hivyo
mbona liko wazi jirani jamaniiii, ukiweza kumaliza hamu ya Ke walahi hakuna mahali anaweza geukia, kila muda na dakika utakuwa unazunguka tu akilini mwakeKumbe shida ni hamu Jirani
Hilo ndio tatizoMy man is so sweet hawezi nigusa..!
Hili tatizo litakuja kukutesa sana mdogo wangu, badilika.Kuna watu huwezi kutupiga by nature, tumeumbwa tu kupendwa.!
Binadamu ana badilika acha kujidanganya.My man is so sweet hawezi nigusa..!
hawa ndio huwa wanataka kile kitombo cha mwana ukome akimbilie bafuni kumwagia mashavu maji😜Bila kuzunguka sana, hizo ndo nyege mshindo zenyewe.
Unajua mkuu hivi vibinti vikiwaga kwn ule umri wa ku shine (early 20s) na apo ukute ni kazuri zuri basi kanasumbuliwa sumbuliwa na wanaume, hua wanajiona kama watabaki hivyo forever. Badala ya kutumia hiyo opportunity kutengeneza fyucha na stable relationship, wao ndio nyodo, maringo, kama ivi ku toy na wanaume, samtaimz ata ku break up kirahisirahisi ilimradi tu anajua kuna msururu wa wanaume wako pending.Binadamu ana badilika acha kujidanganya.
Huyo anacho fanya ni KUVUMILia TU,akichoka lazima ajiengue.
Hakuna mwanaume anae penda mifujo fujo mikelele Kelele mikwaluzano kwaluzano wakati yapo mengi ya kufanya.
KUNA MMOJA KASEMA SOKO NI GUMU!UTAHENYEKA!!
Ahsante mkuu kwa ujumbe mzito..!!Unajua mkuu hivi vibinti vikiwaga kwn ule umri wa ku shine (early 20s) na apo ukute ni kazuri zuri basi kanasumbuliwa sumbuliwa na wanaume, hua wanajiona kama watabaki hivyo forever. Badala ya kutumia hiyo opportunity kutengeneza fyucha na stable relationship, wao ndio nyodo, maringo, kama ivi ku toy na wanaume, samtaimz ata ku break up kirahisirahisi ilimradi tu anajua kuna msururu wa wanaume wako pending.
Kufumba na kufumbua anajikuta umri umeshamtupa mkono, wale wanaume wa maana wote aliokua anawachezea tayari wana familia zao, kila anapopita ni shkamoo ma mdogo, anti unaenda..? Shangazi vipi..? Hapo ndio akili zinakaa sawa kuanza kutafuta anaepumua 😀
Hawajui,Wenyewe wanajua tayari mwanaume washamkamata na hawezi kukoroma,Wasijue mambo Huwa Yana badirika.Unajua mkuu hivi vibinti vikiwaga kwn ule umri wa ku shine (early 20s) na apo ukute ni kazuri zuri basi kanasumbuliwa sumbuliwa na wanaume, hua wanajiona kama watabaki hivyo forever. Badala ya kutumia hiyo opportunity kutengeneza fyucha na stable relationship, wao ndio nyodo, maringo, kama ivi ku toy na wanaume, samtaimz ata ku break up kirahisirahisi ilimradi tu anajua kuna msururu wa wanaume wako pending.
Kufumba na kufumbua anajikuta umri umeshamtupa mkono, wale wanaume wa maana wote aliokua anawachezea tayari wana familia zao, kila anapopita ni shkamoo ma mdogo, anti unaenda..? Shangazi vipi..? Hapo ndio akili zinakaa sawa kuanza kutafuta anaepumua [emoji3]
Mwanaume mpaka kukuweka ndani wewe,usidhani haoni wengine.Ni heshima tu hiyo.Na kuwa na wewe siyo kigezo cha kusema kwamba ndo hawezi kuwa na mwingine.Ahsante mkuu kwa ujumbe mzito..!!
Pole pia mkuu kwa changamoto unazozipitia, nimeumia sana..!!Mwanaume mpaka kukuweka ndani wewe,usidhani haoni wengine.Ni heshima tu hiyo.Na kuwa na wewe siyo kigezo cha kusema kwamba ndo hawezi kuwa na mwingine.
Una jimwambafai kuwa man wako hawezi kukupiga,Kwa kudhanii wewe ni spesho!au wewe ndo limit yake eeh!
Yani man wako kuona amekereka ndo furaha yako??[emoji848] Ivi usha muuliza kama ana penda unavyo mkera.Au ni furaha yako tu wewe halafu kwake ni kero
GAME NI GUMU!
"Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyeweeee"
Guys,
Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.
Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.
Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.
Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.
Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.
Hivi hili litakuwa tatizo gani?