Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Ahsante kwa ushauri, ila trust me I'll be the last woman standing katika suala la kupigwa..!! Katika vitu siwezi fanywa ni kupigwa mdogo wangu..!
 
Hilo nalo ni tatizo la akili pia.
Ila viungomvi ugomvi huwa vinanogesha mapenzi lakin viwe vya kiasi
Siyo tatizo la akili bhaana, mbona mnanisingizia jamani..!!?

Hapo pa kunogesha sasa.!! Ewaaah'..
 
Hako katabia ilibaki kidogo nishushiwe kelbu sku moja😂😂😂 ila sio kwamba nmeacha.. nmepunguza kidogo.
Haha.
Hii kuacha inahitaji neema za Mungu, kwanza mapenzi yataboa bhaana..!

Ila tuache utani Mods wapo serious wameshaniwekea eti na kapicha..!!
 
Wanawake wengi tulivyo
Mi siku hizi nimepunguza maana sitaki ugomvi nimechoka na miugomvi
 
Kuepusha maumivu utakayo yapata let me let it pass[emoji57][emoji57],,,
okay umeshinda,, you'll make me crumble nimekubali.
Ahsante ila sipendi watu wanaokubali haraka jamani, hata sijatumia nguvu.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…