Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?


Tatizo yule manzi anajua uwezo wa kuwahudumia ninao! Labda alitaka show off za uswahili! So nilichokifanya sio kwamba sikua vzr ila nilitaka kutoa funzo kwao!
 
Sina huo ujinga wa kutoka out na mabest zangu! Nimejiweka tu kwenye position ya hao mashost plus niwe sina hata kumi mfukoni au hata kama ninayo iwe kidogo sana ambayo haitoshi hata. Inasikitisha sana.

Ni wajinga pia kupelekana sehemu km ng’ombe
 
Kama mpo wanne! Mhudumu leta soda nne, chips mayai sahani 2, ku- share wawili. Tena wakarihishe kwa ukarimu. Mwisho waambie pesa yangu inaishia hapa, au kuna ya nyongeza? Okay! Asanteni sana na karibuni tena!

Hayo yote ya nini mkuu! Ni kuachana nao mapema tu!
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada hapo usisingizie mtu hajitoi watu tunajitoa sana lakin kumbuka kabla yakuonana kuna makubaliano kwenye simu n.k na inategemea na sehem unazoenda sehem zngne kama karambezi n.k juice tu ni 4000 hapo mtu mmoja msosi 30-50k kwa mtu mmoja sasa wew umekuja na nyomi unategemea nn? Kama unaplan yakuja na mashoga zako mkubaliane mapema,,
Mm binafsi kuna manzi yangu alikuja na beste yake bila taarifa yeye ndo akabeba bills zote nkatoa nauli tu
 
Hukufanya vizuri, bora ungemuweka wazi manzi ako mkaona namna ya kusema either kuna emegensi au laa!
Ukiweka wazi c utaambiwa clear kwanza shem darling alaf nfo uondoke??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Huo ndiyo uanaume! Sio kuendekeza ujinga
 

Mkuu mfukoni nilikua na 500k, kiufupi zingewatosha ila sikutaka kuingia gharama kwa watu wasio na umuhimu wowote kwangu!
 
Ulifanya la maana sana! Au kama mfuko wako ungekua njema,ungeteketeza tu 500k, then unaanza mtafuna mmoja baada ya mwingine! Siku wakija shituka usharamba wote!
Msosi wa bei ghali wanaagiza afu wanaanza kuupiga picha na ku update location sijui samaki samaki sijui wapiii!

Afu wanaanza kunyofoa tartttiibu mwisho inakuwa km wameonja wale jamaa wahudumu ndo wanaenda kukimalizia...

Hapo unatamani umwambie mhudumu akufungue usepe nacho kibaya zaidi unaona noma.

Huku wanakusifia kinyoko nyoko shem ur so beatiful huku una sura km harmorapa
 

Halafu bro km ulijua tulikua samaki samaki! Sasa imagine mtu tano si ujinga huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…